GE2025 Jaji Asina: Vijana mkiepuka wapotoshaji mtakuwa na mchango mkubwa uchaguzi mkuu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi.

Kuzuia Taarifa Potoshi ni mchango muhimu kuelekea uchaguzi mkuu kwani Maamuzi sahihi hutokana na Taarifa Sahihi.

yeye kateuliwa wala hajawahi kuhangaika na kazi anawahadaa watoto wake wawe calm wasiulize vitu vya msingi , kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Ujumbe wa Jaji Asina Omari, Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), alioutoa wakati akizungumza na wawakilishi wa vijana, kwenye ukumbi wa mikutano Mlimani City Dar es Salaam, unasisitiza kuepuka utumiaji wa Akili Unde kutengeneza taarifa potofu ili kuzuia upotoshaji wakati wa uchaguzi.

Kuzuia Taarifa Potoshi ni mchango muhimu kuelekea uchaguzi mkuu kwani Maamuzi sahihi hutokana na Taarifa Sahihi.

No Reforms, No Election sio Upotoshaji!
Kumbambikizia TAL keshi ya Uhaini ni UPOTOSHAJI
 
Kwan kataja mambo ya no reform?
Acha kukurupuka .au kataja habar za lisu hapo
 
Back
Top Bottom