Alikuwa hajagundua ana uhusiano na huyo binti. Ndio fahamu zimemjia hivi karibuni.Hizo ni conflict of interest..Lakini siku zote kwa nn hakujitoa?? Hii nchi ni shida sana
Kwa hiyo anaogopa kutumbuliwa na Executive, Magufili na sio Judiciary, Chande?? Kwanini mnakataa mkiitwa madictator uchwara?Kituko hiki, lazima alikuwa bado na mazoea akasahau hii ji awamu ya Mh. Magufuli. Sasa ameamua kuwahi mapema kabla hajafanya zaidi na kutumbuliwa.
OfukoziKonflikti ovu interesti...
Kwa hiyo anaogopa kutumbuliwa na Executive, Magufili na sio Judiciary, Chande?? Kwanini mnakataa mkiitwa madictator uchwara?