Kwako MH.Jaji najua ulishauriwa vibaya kwenda mbiombio kuchukua form ya kugombea urais wa Tanzania, ila ulisahau unagombea kupitia chama kilekile kilcho kataa katiba yenu mlioiandaa! ulikatwa mapema hata 5 bora huku iona! japo ulikuja na sera ya chema cha jiuza! imekua chema cha jiinamia kwa aibu na huzuni! pole jaji hiyo ndo ccm naona hukupima kina cha maji umeenda mzima mzima ukazama!