Mnyampaa msingida
Senior Member
- Aug 5, 2013
- 180
- 55
kweli we ni mbumbumbu.
kichwaniHebu niambie umbumbu Wangu uko wapi?
kichwani
Tatizo la wachezaji wa kibongo wanabweteka sana, wakipewa nafasi hawazitumii Yanga kuna Bahanuzi,Javu na Tegete hawa kama wangeonyesha viwango sidhani kama Yanga wangehitaji kuwa na mshambuliaji kutoka njeNikiwaangalia wachezaji hawa wawili wabrazil kwa kweli sioni utofauti wao na wachezaji wa kitanzania. Maximo hapo anachezea ajira kwa wachezaji hao.
OK. Safi sana. Ila nadhani umeona alichokifanya tegete.
Jaja amecheza mechi tano amefunga goli moja, Tegete amecheza mechi moja isiyozidi dk 30 amefunga goal mbili. Je nani mkali.
1. Amisi Tambwe, mfungaji bora wa Ligi iliyopita, ameshafunga magoli mangapi? Ndio tuseme si fowadi/mfungaji mzuri?
2. Kipre Tchetche, mfungaji bora kabla ya msimu wa Tambwe, amefunga magoli mangapi? Ndio tuseme si fowadi/mfungaji mzuri?
3. Unamkumbuka Boniface Ambani? Msimu wake wa pili baada ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu, alifunga magoli mangapi? Ndio tuseme hakuwa fowadi/mfungaji mzuri?
4. Tegete kabla ya leo, alikwishafunga magoli mangapi ya Ligi Kuu kwenye misimu miwili iliyopita? Ndiyo tuseme kabla ya hapo hakupata kuwa fowadi/mfungaji mzuri?
4. Ballotelli tangu aende Lverpool ameshinda magoli mangapi? Ndio tuseme sio fowadi/mfungaji mzuri?
5. Van Parse mwaka huu ameshafunga magoli mangapi? Ndio tuseme sio fowadi/mfungaji mzuri?
6. Unamkumbuka Ballack wa Ujerumani/Bayern Munich? Alifanya vizuri alipohamia Chelsea? Ndio tuseme hakuwa mchezaji mzuri kabla ya hapo? Veron je? Decco?
7. Unamkumbuka shevchenko akiwa A C Milan? Aliendelea na wimbi hilohilo la ufungaji alipohamia Chelsea? Ndio tuseme hakuwa fowadi/mfungaji mzuri kabla ya hapo?
Kuna visababishi (factors) vingi vinavyomfanya mchezaji mzuri kutoonekana mzuri, (ingawa binafsi bado naamini Jaja na Coutinho ni wazuri licha ya kuwa wamefunga goli moja moja tu hadi sasa - mbona Niyonzima, Salim Abubakar, hamis Mcha nk hawajafunga hadi sasa na hatuwasemi kuwa sio wazuri?): ugeni, ushikaji mafunzo ya mwalimu mpya kwake, imani yake kwa uchezeshaji anaouona, mazingira ya nje ya uwanja/timu/kambi, kuogopwa kunakolazimisha kuchungwa kupita kiasi hata kama kwa mbinu haramu, kite (tension) bahati, ushirikiano na wachezaji wengine, n.k.
Wewe kweli ni Mtanzania...
Hoja yangu kuu ni kwamba mchezaji kuchemsha kwenye ligi au msimu mpya haimaanishi kwamba mchezaji huyo hakuwa mzuri kwenye ligi au msimu uliotangulia. Na kwahivyo mwalimu, mchezaji au timu hiyo hawapaswi kulaumiwa moja kwa moja kwa bahati hiyo mbaya. Na kwamba si kweli kuwa Jaja na Coutinho ni mizigo kama baadhi ya wakengeza wa soka wanavyoona. Na kwamba rekodi ya mabao 3 ndani ya mechi 6 (aliyofunga Jaja ukihesabu na ya Ngao ya Hisani) au ya goli moja na 'assists' 4 kwenye 6 (takwimu za harakaharaka za Coutinho tangu Ngao ya Hisani) si rekodi mbaya kama mwanzisha mada anavypojaribu kuonesha.Unaweza kufananisha lakini watu wanahitaji kupiga hatua. Ukianza kusema ugeni, mafunzo ya Mwalim mpya, mpaka wajekushika hayo mafunzo ligi imeisha.
1. Amisi Tambwe, mfungaji bora wa Ligi iliyopita, ameshafunga magoli mangapi? Ndio tuseme si fowadi/mfungaji mzuri?
2. Kipre Tchetche, mfungaji bora kabla ya msimu wa Tambwe, amefunga magoli mangapi? Ndio tuseme si fowadi/mfungaji mzuri?
3. Unamkumbuka Boniface Ambani? Msimu wake wa pili baada ya kuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu, alifunga magoli mangapi? Ndio tuseme hakuwa fowadi/mfungaji mzuri?
4. Tegete kabla ya leo, alikwishafunga magoli mangapi ya Ligi Kuu kwenye misimu miwili iliyopita? Ndiyo tuseme kabla ya hapo hakupata kuwa fowadi/mfungaji mzuri?
4. Ballotelli tangu aende Lverpool ameshinda magoli mangapi? Ndio tuseme sio fowadi/mfungaji mzuri?
5. Van Parse mwaka huu ameshafunga magoli mangapi? Ndio tuseme sio fowadi/mfungaji mzuri?
6. Unamkumbuka Ballack wa Ujerumani/Bayern Munich? Alifanya vizuri alipohamia Chelsea? Ndio tuseme hakuwa mchezaji mzuri kabla ya hapo? Veron je? Decco?
7. Unamkumbuka shevchenko akiwa A C Milan? Aliendelea na wimbi hilohilo la ufungaji alipohamia Chelsea? Ndio tuseme hakuwa fowadi/mfungaji mzuri kabla ya hapo?
Kuna visababishi (factors) vingi vinavyomfanya mchezaji mzuri kutoonekana mzuri, (ingawa binafsi bado naamini Jaja na Coutinho ni wazuri licha ya kuwa wamefunga goli moja moja tu hadi sasa - mbona Niyonzima, Salim Abubakar, hamis Mcha nk hawajafunga hadi sasa na hatuwasemi kuwa sio wazuri?): ugeni, ushikaji mafunzo ya mwalimu mpya kwake, imani yake kwa uchezeshaji anaouona, mazingira ya nje ya uwanja/timu/kambi, kuogopwa kunakolazimisha kuchungwa kupita kiasi hata kama kwa mbinu haramu, kite (tension) bahati, ushirikiano na wachezaji wengine, n.k.
Ni vema pia kutambua kuwa UWEPO wa Jaja ni faida kubwa sana. Ndio maana unaona Tegete anapopata nafasi ya kucheza atahakikisha anafanya vema ili kudhihirisha yeye ni bora kuliko Jaja, '' USHINDANI WA NAMBA'''. Tegete alikuwa ameshabweteka na hata kushuka kiwango sana. Hii ndio dawa ya mtu mvivu na asiyejituma, mletee mtu wakushindana naye vinginevyo asugue bench.Jaja amecheza mechi tano amefunga goli moja, Tegete amecheza mechi moja isiyozidi dk 30 amefunga goal mbili. Je nani mkali.