Tukubali au tukatae Kiiza ni bora kuliko Jaja na Msuva ni bora kuliko Countinho katika nafasi anayopangagwa.
kwahiyo unataka kunambia kua na humu vikaragosi wamo..?mimi nawakubali watu wakikosoa mchezaji nao wasikiliza ni kibadeni mwaisabula aly mayai na yupo mmoja mzee hivi alikuwa tbc wakati wa word cup hao wakielezea mpira ni afadhari wanauju mpira sio vikaragosi wengine