Ndg wana jf poleni na pilikapilika.
Gazeti la mwananchi toleo na 04096 la tarehe 13 septemba 2011 lilitoa mpya juu ya kashfa ya jairo kwamba kuna waraka unaokataza uchangishaji wa fedha. Mwananchi limetaja waraka huu kuwa ni waraka na. 3 kumb. Na. Tyc/a/400/620/18 wa mwezi machi 2011.
Mi naomba mwana jf yeyote anitumie au auweke umu tuusome vema. Naamini kwa kinachoendelea watanzania tuna haki ya kujua. Kwa sababu viongozi wanaochangisha fedha kwa kazi zilizoko ndani ya bajeti siyo jairo peke yake. Ebu tujuzeni, tupeni mwanga tujue na tujadili.
Naamini hili ni jukwaa muafaka. Asanteni
Waraka unasema ni marufuku kuchangisha WANANCHI pasipo 1. wananchi wenyewe waridhie kwenye mkutano wa hadhara 2.makubaliano hayo ya uchangiaji upate kibali kutoka mamlaka yanayohusika..............................
lakini swala la Jairo si la kuchangisha WANANCHI ni kuchangisha taasisi ndani ya wizara ambalo ni swala la MHIMILI MMOJA WA DOLA ndani ya serikali............
Hivyo BUNGE letu lilitakiwa kujadili yatokanayo........then kushauri mapendekezo kwa Mhilili ambao Mwana Kondoo Jairo ni Boss wake............Na si kupinga Maamuzi ambayo MHIMILI MKUU umeyatoa bila kuangalia nani katoa.............Tusiwe doubleface waTZ..............serikali si MUCHEZO.....kuna mambo mengi ya kuumiza vichwa.......................
JAIRO arudishwe kazini.....................Mnaing'ang'ania hii mada kulikoni.................acheni wivu, uroho, husda..............wakati ukifika utapata na wewe...................kila kitu kimepangwa...........

Uchambuzi wako ni sahihi kabisa na haya ndiyo madhara ya kuwa na katiba ambayo ni ya chama kimoja. Ni itikadi ya hicho chama iliyobatizwa na kuitwa Katiba ya nchi. Halafu kinachofuata ni Mkuu wa nchi anakuwa amelimbikiziwa madaraka ya kuchagua viongozi wote huwezi acha kuona mizengwe na mazingaombwe katika nchi.Mjini Chai katoa mawazo yake. Thats fine. Japo ameonekana hajui alisemalo.
Kwa kuwa msemakweli ni Waraka Na. 3 ni vema ukawekwa bayana ili pumba na chuya ikajulikana. Naamini tukiuona wengi tutakuwa na msingi wa kuchangia.
Tangu baadhi ya magazeti yaandike juu ya uwepo wa Waraka huo hakuna mamlaka yoyote iliyokanusha. Silence means what? Lkn tunajua kila Wizara ina bajeti yake kila mwaka na bajeti hiyo imejumuisha bajeti za kila idara. Sasa tupate msingi sasa wa wizara mama kuzichangisha taasisi zake. Pia tunafahamu mchakato wa bajeti unaanzia huko huko kwenye idara/taasisi za kila idara. Je, kuna kifungu katika idara/taasisi kinachoombewa fedha na kutengewa fedha kwa ajili ya kuichangia wizara au kuiwezesha bajeti yake kupita? Maswali ya kujiuliza ni mengi na watanzania wanahitaji majibu kulika shutuma. Hakuna mwenye wivu katika hili. Ebu tueleweshane.
Watanzania tufahamu kwamba mambo ya namna hii yanapoibuliwa kumekuwa na ujanja wa kuyafukia na hatimaye kutufumba macho na masikio watanzania. Ujanja wa siku zote umekuwa ni kuunda tume au kamati za uchunguzi. Naam, tume na kamati hizi zmara nyingi zinaelekezwa cha kufanya au kupewa adidu za rejea rather than Tume au Kamati kujiandalia zenyewe Adidu za Rejea kwani The subject matter inakuwa wazi. Hivyo, hata kama tume au kamati itafanya vema lkn endapo matokeo ya uchunguzi ni tofauti na na anavyotaka mkubwa basi taarifa itaishiwa kuwekewa viraka au itawekwa kwenye shubaka na ndo unakuwa mwisho wa kila kitu.
Hivyo, lazima ifike mahali watanzaania tuamke, kwanini masuala kama hayo ya kijinai yaundiwe tume wakati tuna vyombo vya dola vyenye mamlaka ya kisheria? Jambo la maana ni kuviagiza ili vichukue hatua. Lkn je mambo ya jina yanapoundiwa tume hatuoni kwamba ndo mwanzo wa kuvifumba macho vyombo vya dola? Asanteni sana wana JF.
Sikutegemea kuna watanzania wapuuzi kiasi hiki. Wewe ni kati yao ambao, hata nchi ikiuzwa unaona sawa ili mradi unalamba makombo
Katika watanzania wenye mawazo potofu na fikra hasi wewe ni mmojawao
Sikutegemea kuna watanzania wapuuzi kiasi hiki. Wewe ni kati yao ambao, hata nchi ikiuzwa unaona sawa ili mradi unalamba makombo[/QUHa ha ha iv hukuwaona cku zle wamebinua misaburi yao wakmsukuma uyu kibaka basha wao
Hebu eleza mawazo pevu na fikra chanya tuyaone.......Tatizo la wengi wenu ni Bendera fuata upepo hamtafakari.............Je Wabunge wanayo haki ya kuingilia maamuzi ya Mhimili mwingine wa serikali?.............Je? ikitokea ukaambiwa kuwa ulikuwa ni mpango wa kuvunja Baraza la mawaziri ambao uliandaliwa na wasioitakia mema nchi yetu utasemaje?............... Si kila kitu kitamu mdomoni ni chakula kingine ni SUMU.......Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ni JF ni zaidi ya Forum nyingine...........think........ think...... think........