Jameeyla imeshakua nchi ya vioja siku nyingi zilizopita yanayotokea ni mwendelezo tu. Ninao ushahidi ila kwa leo ninahasira sana sitaweza kuviorodhesha bila kutoa machozikama taarifa ni za kweli hizi basi Tanzania hii itakuwa nchi ya vioja.
kama taarifa ni za kweli hizi basi Tanzania hii itakuwa nchi ya vioja.
tanzania ni nchi ya vioja, viroja na kila kitu since long agokama taarifa ni za kweli hizi basi tanzania hii itakuwa nchi ya vioja.

Ukiwa mtumishi wa umma na ukawa tuhuma...hata baada kustaafu...unawajibishwa kabla haijapita miaka 2 baada ya kustaafu!!hawezi kukwepa hilo hata akistaafu!!

Hata akistaafu, tume teule itpendekeza PCCB kufanya uchunguzi. Tume itafungua paradox box.
Taarifa za kiintelijensia zinasema kuwa serikali iko mbioni kumstaaafisha katibu aliyesimamishwa kwa kigezo kuwa umri wake wa kustaafu umetimia. Hayo yanafanyika ili Tume itakayoundwa na bunge itakamilisha kazi yake jamaaa awe amestaafu na maamuzi yoyote yatakayofikiwa yasimguse.
Habari ndiyo hiyo. Tanzania zaidi yauijuavyo!

Yule Mwanyika aliyekuwa mwanasheria mkuu kafanywaje?

Je yule katibu wa nishati na madini alifanywaje pamoja na yote aliyofanya?