Tehe tehe tehe teheeeeee. Saa ya ukombozi ni sas, na wkati wa kuwaangazia nuru waabudu tumbo ni huu. Ewe ndg! Eti mtito wa dada yako aliyefauru kujiunga na sec school kule Shilimatinde, na akaweza kupewa mahitaji yote na mme wa dada yako ili aanze hiyo form 1 yake pale St Govrnmt Sec school, ambayo imejengwa na nguvu za dada na shemeji yako kwa njia ya ujenzi wa sec za kati, na wakalitimiza hili kwa moyo wa dhati; lakini wanachama wenzenu wanshika hatamu ya serikali wakashindwa kupeleka waalim pamoja na vifaa. Je, huo uanachama wako huko ughaibuni, unamsaidiaji dad yako, shemeji yako na huyu mwipwa wako! Vipi, yule mama yako mdogo aliyelazwa hospitalini pale Kisarwe ni km chache tu kutoka Magogoni, lakini Dr kamwacha afe kifo cha taratibu kwa kuwa hawezi kumfanyia upasuaji kisa tu hospitali haina maji; hili la uanachama wako linampiga tafu vipi.
Karibuni, bongo tule ugali kwa picha ya samaki.