Fursa hiyo kwa Jiwe aichangamkie ila Madam DC hatokubali kunyang'anywa tonge kirahisi, itabidi kujipinda na kuzungusha kama pangaboi ili kumtega zaidi Bw. Jiwe
Kweli pesa na madaraka ndio kila kitu maana kama Jiwe angekuwa dalali wa vyumba yombo Buza angekuwa anaishia kutongoza walevi wa gongo tu, leo hii warembo wanamtangazia fursa.