kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,077
- 1,728
- Thread starter
- #61
Wivu utakuua wewe! Aliyekukataza kulala na grandpa nani? Au una sura ya kima?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu utakuua wewe! Aliyekukataza kulala na grandpa nani? Au una sura ya kima?!
Alimiliki kiwango hicho kwa Majibu wa Forbes labda hio unayosikiliza wewe ndiyo radio ya mbaoMzee mengi mwenyewe hana 560$milions
Hio itakuwa ni habari za Radio Mbao♂
Alimiliki kiwango hicho kwa Majibu wa Forbes labda hio unayosikiliza wewe ndiyo radio ya mbao
Independent Power PlusKirefu cha IPP ni nini ?
Dada upo majuu?Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.
Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.