Jacqueline Mengi: The richest woman in East Africa

Kumbukeni tu kwamba hiyo $560MM net worth is not the same as $560MM cash at bank. Ni value ya assets zake zote (ambazo nyingi zake ni illiquid) minus value ya liabilities zake zote! Hisa za makampuni yake yote hazina quoted market price. Ni rahisi tu kujikuta ana tatizo kubwa la kifedha pamoja na kwamba ana net worth kubwa!
 
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake

Haha nani ampe Jacky kiwanda cha Bonite, jack angekuwa amepewa kiwanda cha Bonite bhas sahiv angekuwa amesha-post kwenye Instagram page yake kabombe
 
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
unamaanisha Mjane na watoto wadogo wamerithi viwanda vya bonite moshi na cocacola kwanza limited mwenge ?
 
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake
hajapewa hichi kiwanda alikuwa anamlilia mzee ampe mzee akamtosa akampa kampuni zake ambazo haziingizi mpunga kivile, bonite alishashituka mapema mzee wetu
 
Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.

Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.
[/QUOTEusinikumbushe issue za kuosha wazee hahaha usiombe uoshe asubuhi looh, mwenzetu katumia K yake tu
 
Coca cola kwanza is the best in east and central Africa,mitambo yake hata south Africa hakuna
Mzee aliingia kwenye uchimbaji wa dhahabu na mererani ana mgodi wa Tanzanite
Kuna kampuni ya kutafuta gesi swala plc,inauza hisa Lse na Nyse,hatari tupu
Swala Mengi hayumo
 
Sio kirahisi hivyo
Jack amepewa kiwanda,cha coca cola tu,cha bonite,yeye na wanawe,na hii imefanyika kitambo
Mali zingine zimeingia kwente RM foundation,sehemu kubwa iliobaki wataendelea kumiliki Regina na kaka yake

Bonite ni ya Late Aunt Mercy. Katika ambayo walipanga wagawane kusimamia/kumiliki zamani yeye alichukua bonite 100% na kampuni ingine ambayo haipo tena. Na bado akawa huko kwingine pia. Sioni kama hii kitu mama Mengi aliyefariki miezi 6 iliyopita angekaa kuona inaibiwa kwake kupewa Jackie, kwanza kivipi ati?. Ninavyokumbuka miaka ileee mali zao karibu zote kama sio zote ziliwekwa kwenye trust fund, labda kama kuna kitu kimebadilika hapa nyuma kidogo ila sio bonite. Will if iliandikwa itakuwa haigusi bonite.
 
hajapewa hichi kiwanda alikuwa anamlilia mzee ampe mzee akamtosa akampa kampuni zake ambazo haziingizi mpunga kivile, bonite alishashituka mapema mzee wetu
Kampuni ipi kapewa huyo dada? Maana hata hizo alizoanzishiwa zimesajiliwa chini ya IPP. Hivyo ni mwendo wa dividends tu hapo.
 
Mwaka 2014 Forbes walitaja utajir wa mengi ni around 560 us dollar million, hapo sio pesa aliyo nayo tu bank ni jumla na miradi yake yote mpa na kiatu alichovaa...sasa kama amempa jack dollar 560 bas amempa zaid ya 90 % ya utajir wake......kitu ambacho ni impossible
 
Inaripo website moja kutoka Zimbabwe, Inasemekama mzee Mengi kamuachia jack more than $560M

I love it!!

Story kamili follow link below

View attachment 1094795
Wale wanaohangaika kumsakama watakufa kihoro
 
Hongera Klyn wengine ilibidi tukeshe tunaandika essays na kichambisha wazee ili angalau tujenge nyumba za kuishi.

Lakini kulala na grandpa haikua kazi nyepesi.
Wivu utakuua wewe! Aliyekukataza kulala na grandpa nani? Au una sura ya kima?!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom