Jackline wolper: Natamani kuolewa

Wolper kashazeeka mamaye hana mpya menina ndo habare ya mujini

Ndio nashangaa umeweka liuzi la wolper la nini sasa Zamda Geuka njoo uone warumi nae hajisikii kuongelea wolper Menina habare nyingine dadaadeki hutaki kafie Nyakahoja
 
Last edited by a moderator:

Mtoto umbo linaeleweka sio ta.ko la wema box si box shida tupu, gume gume hilo nani alioeeee
 
Ndio nashangaa umeweka liuzi la wolper la nini sasa Zamda Geuka njoo uone warumi nae hajisikii kuongelea wolper Menina habare nyingine dadaadeki hutaki kafie Nyakahoja

nisaidie kushangaa mtu anang'ang'ana na wolper nani anataka hapa!habari tamu ni menina na wema tu baasi
 
Last edited by a moderator:
Unazimika na swagaaaa eee zinakupa rahaaaaa pamoko sanaaaa
Hamia kabisa hili jukwaa huku umbea,udaku basiiii mengjne acha nyumbani au siyo warumii

Ngoja niendelee kupata burudani, bt palipo na qn ntauliza, maan nyie mmh may be niwaite #teamgoogle
 
Last edited by a moderator:
Kuna kubwa letu a.k.a mwenyekiti warumi hayupo popote ni jamii tuuuuu,utamuona na huyoo

Huyu jamaa nae namuelewa sana, aisee sas naona. Dsm yote mnaijua in n out, by the way nikulize swali la kizushi?
 
Last edited by a moderator:
Mmh..usije nichamba. NGOJA nikae nalo moyoni tu

Hhhhhaaaaaa umenichekeshaaa mi hua sichambi watu banaa tena sasa hiv nimeokoka,basi niulizie kule pm ukikaa nalo litakuganda kama kina fulanii
 
Hhhhhaaaaaa umenichekeshaaa mi hua sichambi watu banaa tena sasa hiv nimeokoka,basi niulizie kule pm ukikaa nalo litakuganda kama kina fulanii

Mmh! So hapo ndo umeokoka? Nawish ningekufaham before hujaokoka,,,😛
 
Ok

Nasikitika kuwa mwenyewe hajaja kuweka mambo sawa humu but i will continue this discussion na Mwanasiasa who seem to be more intouch with Chadema and so on lakini jibu langu litamsubiri atakayoyasema

Nyakahoja ipi mana mimi najua shule y nyakahoja hamna pimbi hpo mana nimeskul hpo,ila pimbi wko milimani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…