mi mdomo tu anavouweka wakati akiwa anaongea ndo ananishangaza...kuanzia leo fuatilieni mdomo wake anavoubinua utadhani anasuta watazamaji
Kweli kabisaaaa kuna siku nilimuona nikasema huyu dada ana matatizo ya mdomo amaaa.mbona anasoma habari kama anamsuta mtu...duuhh atakua ana matatizo fulani kisaikolojia labda anaamini akisoma kwa pozi hizo ndo anapendeza