Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo.
Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo huko mkoani Shinyanga.
Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia mbalimbali wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani na Ubunge wa Viti Maalum.