Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
Huyu Jack alikutana na mdada wa Arusha pub moja hivi, walikuwa watu wengi wanaangalia mpira. Alipoona rangi ya Arusha Kama ya Honey, Jack aliziingiza mdogo mdogo watu wakaondoka. Alichukua chumba juu ya pub ni hotel.
Alipomaliza alishuka yeye wa kwanza na kuwa hadithia wapambe wake yote aliyofanya chumbani. Dada wa watu anashuka chini kundi zina linamchora mwenyewe akifikiri amevaa nguo.
Alipomaliza alishuka yeye wa kwanza na kuwa hadithia wapambe wake yote aliyofanya chumbani. Dada wa watu anashuka chini kundi zina linamchora mwenyewe akifikiri amevaa nguo.