J RAPPA

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
JAmaa sijui atakuwa anajisikiaje akipita mtaaani, au sokoni

Zamani alikuwa anauza sura kinoma
 
Atakuwa anatamani kubadilisha sura.

Maana wananchi wanaweza kumvutia uchochoroni wammalize wakidhani ni j original yeye
 
Huyu jamaa wakati awamu ya tano inaanza ndo alikuja na kick eti anafanana na jpm akawa anazurura kitaa anauza nyago
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pombe rappa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…