Mkuu! Nashukuru kujua historia hii muhimu katika huduma za afya nchini kwetu. Nitakitafuta kitabu hiki.
Kipo Muhimbili MUCHAS Library
Habari nzuri sana... keep it up ..very informative info... ningependa kukisoma hiki kitabu.Katoma natafuta kitabu kinachoitwa 'folk tales from Buhaya' by RA Mwombeki Je ni wapi kinapatikana Dar?
Nothing special .. Kuna watz wengi tu walikuwa wa kwanza kwenye mengine mengi.. mf. mtz wa kwanza kuwa seremala, mtangazaji, fundi bomba, mhasibu, pilot, mhandisi, reporter, .. ili mradi tu watltangulia kuzaliwa.
Are you serious? Walete jamvini hao unaowafirst tuwajue, sio manyoya ya paka mkononi iwe ndio thread ya kutupigisha kelele wiki kadha. Mtu kwao ati!Nothing special .. Kuna watz wengi tu walikuwa wa kwanza kwenye mengine mengi.. mf. mtz wa kwanza kuwa seremala, mtangazaji, fundi bomba, mhasibu, pilot, mhandisi, reporter, .. ili mradi tu watltangulia kuzaliwa.
Nothing special .. Kuna watz wengi tu walikuwa wa kwanza kwenye mengine mengi.. mf. mtz wa kwanza kuwa seremala, mtangazaji, fundi bomba, mhasibu, pilot, mhandisi, reporter, .. ili mradi tu watltangulia kuzaliwa.
Ingependeza basi labda nawe ungetutajia fundi bomba, kondakta, mchuja nafaka, mpasua matofali wa kwanza alikuwa ni nani na alitokea wapi ili namimi niweze kuongeza 'neuronal connections' kwenye pande ya ubongo ninaporekodi historia ya Tanzania. I'm a very curious person, I hope you are too.
Are you serious? Walete jamvini hao unaowafirst tuwajue, sio manyoya ya paka mkononi iwe ndio thread ya kutupigisha kelele wiki kadha. Mtu kwao ati!
Unajua ni kasumba ya wa Tz ni kutoku appreciate vitu vilivyofanywa na wengine, Personally nasikia raha ninapopata habari kama hizi. Inanifanya nijivunie kuwa mtanzania pia kuyafahamu mazuri yaliyofanywa na watanzania wenzangu. Sasa jitu from no where linapoibuka na issue za mafundi bomba unajua kabisa ni wivu na chuki ndio zinalizomsumbua..
Endelea kutupa mambo mazuri achana na hawa naweza kusema wachawi wachache wasiopenda maendeleo ya watu.
Regards
Kwa vyovyote wapo.. ukweli ndiyo huo. Tatizo ni kwamba hawajaandikiwa vitabu kama ilivyo kwa huyu daktari wa kwanza mwenye leseni
Hivi Mtanzania wa kwanza kucheza kuf***irwa ni wewe nini?Hivi Mtanzania wa kwanza kucheza Porn ni wewe nini?
.
Ni wazo zuri maana kuna watu wamechangia alot na hakuna anayewakumbuka.hivi huwa hata hatuna vi award japo wapokee wajukuu kama Nobel prize or the highest medal "the Star of kilimanjaro "ambayo anayo mandela na Nyerere ? Tuwaenzi watu wetu jamani politics ni uongo tu!
very good history, wachangiaji watakuwa wachache sana kwa sababu wengi wanapenda vipichapicha na majina kama ZItto, Muro nk