J Mutahangarwa: the first Tanzanian with a medical license

Katoma

Senior Member
Mar 11, 2008
133
10
Joseph Rutakolezibwa Mutahangarwa was born in a chiefly family in Kiziba in the Kagera region. He was the first Tanganyikan to complete the medical course at Makerere in 1940. He arrived in Dar es Salaam in the same year to serve his internship at Sewa Haji Hospital (now Muhimbili National Hospital). His work there was highly regarded and in 1942 he performed the hospital's first major all-African operation.

In April 1942, Mutahangarwa was posted in Shanwa, a remote station in Shinyanga with no railway connection nor telegraph service. This appointment made him the first African Assistant Medical Officer to be in charge of a station in the Tanganyika territory. He managed the hospital with an entirely African Staff. He found however that he had inherited a crisis, an epidemic of cerebrospinal-meningitidis had brocken out during that year. The total number of CSM cases in the following year were in excess of 600 patients and 109 deaths. The CSM epidemic continued through-out his 3.5 year tenure however cases and deaths gradually decreased. A smallpox epidemic erupted in the aread during 1944-1945, and he oversaw the vaccination of 86,604 people in a district with very poor transportation, while at the same time running a 38-bed hospital and an outpatient clinic, and organizing clinical trails of traditional medicines for the treatment of tuberculosis.

Despite Mutahangarwa initial pride and optimism, his years at Shanwa were unhappy. He struggled to manage on his small salary (less than 400 T.Shs a month), was pestered by bureaucrats, drown in paperwork and isolated from other professionals. In 1951 he quit government service and moved to private practise.

Among his contemporaries were the gifted Dr. Francis Mwaisela from Mbeya and Dr. Raymond Kafamba from Kiziba both Makerere Alums.

from:
East African doctors: a history of the modern profession
By. John Iliffe (2002)
http://books.google.com/books?id=Bt...ntcover&client=firefox-a#v=onepage&q=&f=false
 
very good history, wachangiaji watakuwa wachache sana kwa sababu wengi wanapenda vipichapicha na majina kama ZItto, Muro nk
 
Mkuu! Nashukuru kujua historia hii muhimu katika huduma za afya nchini kwetu. Nitakitafuta kitabu hiki.
 
Kipo Muhimbili MUCHAS Library
9789970023035.jpg
 
Habari nzuri sana... keep it up ..very informative info... ningependa kukisoma hiki kitabu.Katoma natafuta kitabu kinachoitwa 'folk tales from Buhaya' by RA Mwombeki Je ni wapi kinapatikana Dar?
 
Hicho kitabu kwa kweli sijui Dar utakipata wapi. Kwani nami pia ninakitafuta
 
hivi huwa hata hatuna vi award japo wapokee wajukuu kama Nobel prize or the highest medal "the Star of kilimanjaro "ambayo anayo mandela na Nyerere ? Tuwaenzi watu wetu jamani politics ni uongo tu!
 
Nothing special .. Kuna watz wengi tu walikuwa wa kwanza kwenye mengine mengi.. mf. mtz wa kwanza kuwa seremala, mtangazaji, fundi bomba, mhasibu, pilot, mhandisi, reporter, .. ili mradi tu watltangulia kuzaliwa.
 
Ingependeza basi labda nawe ungetutajia fundi bomba, kondakta, mchuja nafaka, mpasua matofali wa kwanza alikuwa ni nani na alitokea wapi ili namimi niweze kuongeza 'neuronal connections' kwenye pande ya ubongo ninaporekodi historia ya Tanzania. I'm a very curious person, I hope you are too.
 
Are you serious? Walete jamvini hao unaowafirst tuwajue, sio manyoya ya paka mkononi iwe ndio thread ya kutupigisha kelele wiki kadha. Mtu kwao ati!
 
We honore pioneers in different fields because they paved the way. By the way just been born first does not mean you will be the first to do something. There are many who were born before Mutahangarwa but didn't do what he did.
 
Ingependeza basi labda nawe ungetutajia fundi bomba, kondakta, mchuja nafaka, mpasua matofali wa kwanza alikuwa ni nani na alitokea wapi ili namimi niweze kuongeza 'neuronal connections' kwenye pande ya ubongo ninaporekodi historia ya Tanzania. I'm a very curious person, I hope you are too.

Unajua ni kasumba ya wa Tz ni kutoku appreciate vitu vilivyofanywa na wengine, Personally nasikia raha ninapopata habari kama hizi. Inanifanya nijivunie kuwa mtanzania pia kuyafahamu mazuri yaliyofanywa na watanzania wenzangu. Sasa jitu from no where linapoibuka na issue za mafundi bomba unajua kabisa ni wivu na chuki ndio zinalizomsumbua..

Endelea kutupa mambo mazuri achana na hawa naweza kusema wachawi wachache wasiopenda maendeleo ya watu.

Regards
 
Are you serious? Walete jamvini hao unaowafirst tuwajue, sio manyoya ya paka mkononi iwe ndio thread ya kutupigisha kelele wiki kadha. Mtu kwao ati!

Kwa vyovyote wapo.. ukweli ndiyo huo. Tatizo ni kwamba hawajaandikiwa vitabu kama ilivyo kwa huyu daktari wa kwanza mwenye leseni
 
Unajua ni kasumba ya wa Tz ni kutoku appreciate vitu vilivyofanywa na wengine, Personally nasikia raha ninapopata habari kama hizi. Inanifanya nijivunie kuwa mtanzania pia kuyafahamu mazuri yaliyofanywa na watanzania wenzangu. Sasa jitu from no where linapoibuka na issue za mafundi bomba unajua kabisa ni wivu na chuki ndio zinalizomsumbua..

Endelea kutupa mambo mazuri achana na hawa naweza kusema wachawi wachache wasiopenda maendeleo ya watu.

Regards

.. rubbish .. opinion yangu ni yangu. ... I stiil see nothing special. And you are entitled to your ''retarded'' choice of words.
 
Kwa vyovyote wapo.. ukweli ndiyo huo. Tatizo ni kwamba hawajaandikiwa vitabu kama ilivyo kwa huyu daktari wa kwanza mwenye leseni

Hivi Mtanzania wa kwanza kucheza Porn ni wewe nini?

NB: By the way, dr wa kwanza wa michezo kwa Tanzania kama sikosei ni Dr. Katala. Nilisikia wakisema hivyo huku Sikonge. Jamaa alikuwa Dr wa Taifa Stars.
 
hivi huwa hata hatuna vi award japo wapokee wajukuu kama Nobel prize or the highest medal "the Star of kilimanjaro "ambayo anayo mandela na Nyerere ? Tuwaenzi watu wetu jamani politics ni uongo tu!
Ni wazo zuri maana kuna watu wamechangia alot na hakuna anayewakumbuka.
 
very good history, wachangiaji watakuwa wachache sana kwa sababu wengi wanapenda vipichapicha na majina kama ZItto, Muro nk

Wanafuata nyayo za watawala wetu wasiopenda vitu serious bali mambo ya mipasho na udaku!! Supposed to be the opium of the marginalized!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom