J.Muro anatumia chadema kujenga jina

J.Muro anatumia chadema kujenga jina

Wanachadema wamo humu nadhani watafikisha habari

Ni kama huo mjadala ushakufa.

Leo ni siku ya saba tangu mjadala wa ununuzi wa madiwani uanze.

Ila kuna matukio yamepangiliwa na kitengo cha Ikulu/CCM ambacho kina mkakati wa kuufifisha.

Alianza JPM na mkutano wa ALAT,akaja JPM tena na mabadiliko ya baraza.

Ni kama ajenda ya madiwani ishakufa.
Mjadala ufe wakati umeshafika Takukuru? Tunasubiri figisu za Takukuru tulianzishe, hakuna Wa kututoa relini. Biashara ya kununua na kusafirisha watu (human trafficking) inapingwa vita duniani kote, sisi ndo tuifumbie macho hata kama inafanywa na Ikulu tutaipiga vita.
 
Moja kwa moja kwenye issue

Nimefuatilia kwa muda kiasi nimegundua kwamba Jerry Murro ni kijana smart uchwara hivi.ametafuta kona ya kupatia umaarufu akagundua ikiwa ataamzisha makelele na baadhi ya watu wenye publicity kubwa atapaa kwa haraka sana.amefanya uchaguzi sahihi wa kupitia chadema ili apate publicity.ila kitu alichowaweza chadema ni kuwaingiza kwenye mtego nao wakanasa haraka haraka.hawajajua kwamba nia yake ni kutaka chadema imsaidie kumnadi kwa Kwa Mkuu wa nchi.ilivyo ni kwamba sasa hivi ukikosana ukihitalifiana na chadema unaonekana mzalendo, sijajua ni kwa nini, unaonekana wewe ni mwenzao.unaweza kufikiriwa chochote kwenye ccm.hasa kipindi hiki

Ushauri ni kwamba Chadema angalie mbele .watu kama Muro wapoteza focus yenu kwa maslahi yao binafsi.huo ulikuwa ni mtego ambao nasikitika kuwambia mmeshanasa nusu.jamaa amescore point flan hapo.

Kwani ametumia ile style ya kuudhi ili mtu a-loose temper akose cobtrol.yaani ana-waprovoke.ni kama mcheza karata anaanza na karata ndogo ndogo ili baadaye awapige na dume.

Angalieni hilo sakata la kadiwani wala rushwa tayari linaanza kutaka kufifishwa
Jerry Muro kawashika pabaya,Mara kafoji vyeti mara sio mchaga,huyo ni ONE MAN ARMY,sasa hivi hapa jf kuna thread zaidi ya 10 kumshambulia Jerry Muro hii ni dalili ya kwamba NGOMA IMEPATA MPIGAJI
 
Wanachadema wamo humu nadhani watafikisha habari

Ni kama huo mjadala ushakufa.

Leo ni siku ya saba tangu mjadala wa ununuzi wa madiwani uanze.

Ila kuna matukio yamepangiliwa na kitengo cha Ikulu/CCM ambacho kina mkakati wa kuufifisha.

Alianza JPM na mkutano wa ALAT,akaja JPM tena na mabadiliko ya baraza.

Ni kama ajenda ya madiwani ishakufa.
Ajenda iliyopo kwa sasa ni yule aliye mtolea nape bastola pale st Peter's.
 
Kesho utasikia press conf. Ufipa kumjibu kijana wa rombo yan ni mwendo wa mialiko tu kwa wabahabari leo huku kesho kule ili mradi tamthilia iendelee
Majibu ya Jeri Muro anayo MANGE KIMAMBI.
 
Jerry Muro kawashika pabaya,Mara kafoji vyeti mara sio mchaga,huyo ni ONE MAN ARMY,sasa hivi hapa jf kuna thread zaidi ya 10 kumshambulia Jerry Muro hii ni dalili ya kwamba NGOMA IMEPATA MPIGAJI
Ukitaka Jerry awatukane chadema wakae kiimya? Kuwashika pabaya Wapi? Alichopanda anakivuna sasa Jerry Muro sio One man Army bali ni mtumishi wa kwenye Nissan nyeupe akipewa maagizo na Bashite le mutuz na sasa Gambo nae kaingia kwenye hicho kikundi, Tambua kuwa Jerry Muro ana hayo mapungufu pia ni njia ya kuwaonyesha watanzania jinsi awamu ya tano inavyotumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo na watu wa hovyo lazima Waonyeshe hana vyeti kafoji hadi kabla lakini cha ajabu ni mzalendo kwa CCM, ngoma haijapata mpigaji bali imepata mjinga mjinga ambae atawaletea Aibu CCM.
 
Mtasema yote lkn mtu mmoja tu ambaye mbwembwe za Jerry Muro zitamnyima usingizi muda mfupi ujao ni Humphrey Polepole. Mr Polepole ameibuka ghafla CCM kutokana na kujenga hoja nyingi za Kumpaisha Mr Magu kipindi cha kampeni kwa ule uwezo wa kujenga hoja akapewa nafasi aliyopewa ndani ya chama badala yake amekuwa hopeless hata uwezo mdg wa kupangua hoja kama kijana wa kusini Nape alivyokuwa amefail. Shida ni, Humphrey aliingia kwa kumfurahisha mkuu kwenye campaign lkn amefeli kwenye uwanja wa mapambano... Jerry Muro ni mpenda sifa na kujipendekeza (sifa namba moja kwa yyt anaetaka nafasi kwenye utawala huu) Pili Jerry Muro ni mtu wa karibu sana na Makonda ambaye sasa hv amekuwa ndio mtu mwenye ushawishi zaidi kwa mkulu. Kitu ambacho kinahatarisha nafasi ya Polepole...... Ila angalizo kwa wanaomtumia Jerry Muro amejipambanua kama mtu ambaye akitaka lake litimie atalitafuta kwa gharama yyt lkn sasa ikishindikana anabadilika kama kinyonga. Angalia alivyokuwa anakomaa na Yanga, lkn walipoteua mtu mwingine akaongea maneno ya hovyo sana kuhusu Yanga. Nafasi ya usemaji aliwahi itafuta BAVICHA akaikosa lkn kwa mwendo wa 'green color' ulivyo ana nafasi kubwa ya kumpoteza Mr Polepole, akapotea polepooole.
 
Back
Top Bottom