But answer Muro's points. Was Lema ever a rastaman, a cross-border criminal, yes or no? Did he participate in the Olasti bombs, yes or no? Does Mr Mbowe "walk" with the woman MP he appointed, has sired 2 sobs with her, yes or no? Are there 2 lesbian MPs from Chadema, yes or no?I see it the same way, japo sitamuita Muro, smart uchwara. CDM waonyeshe ukomavu wao kwakuli handle hili the smart way...
Moja kwa moja kwenye issue
Nimefuatilia kwa muda kiasi nimegundua kwamba Jerry Murro ni kijana smart uchwara hivi.ametafuta kona ya kupatia umaarufu akagundua ikiwa ataamzisha makelele na baadhi ya watu wenye publicity kubwa atapaa kwa haraka sana.amefanya uchaguzi sahihi wa kupitia chadema ili apate publicity.ila kitu alichowaweza chadema ni kuwaingiza kwenye mtego nao wakanasa haraka haraka.hawajajua kwamba nia yake ni kutaka chadema imsaidie kumnadi kwa Kwa Mkuu wa nchi.ilivyo ni kwamba sasa hivi ukikosana ukihitalifiana na chadema unaonekana mzalendo, sijajua ni kwa nini, unaonekana wewe ni mwenzao.unaweza kufikiriwa chochote kwenye ccm.hasa kipindi hiki
Ushauri ni kwamba Chadema angalie mbele .watu kama Muro wapoteza focus yenu kwa maslahi yao binafsi.huo ulikuwa ni mtego ambao nasikitika kuwambia mmeshanasa nusu.jamaa amescore point flan hapo.
Kwani ametumia ile style ya kuudhi ili mtu a-loose temper akose cobtrol.yaani ana-waprovoke.ni kama mcheza karata anaanza na karata ndogo ndogo ili baadaye awapige na dume.
Angalieni hilo sakata la kadiwani wala rushwa tayari linaanza kutaka kufifishwa
Ukomavu utoke wapi.....kwa viongozi gani?wanachama gani?chama cha matukio!kilichofilisika hoja?ndo wameshapata hoja atiiii!I see it the same way, japo sitamuita Muro, smart uchwara. CDM waonyeshe ukomavu wao kwakuli handle hili the smart way...

Du! Kumbe hiyo ndio staili ya kupata vyeo kwa mkulu? Haya bwanaKwa Juliana Shonza mlisema hivihivi kuwa anajisumbua. Leo hii kapewa ubunge na tayari waziri. Nina uhakika Jerry Muro akiebdeleza kupiga domo atatopoa muda wowote ule
Wewe acha ufala huko CCM mna hoja gani ya maana zaidi ya kutumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo? Matukio yapi? Matukio yote mnayatengeneza CCM unataka Wapinzani wakae kiimya? Kazi ya upinzani ni kupigia kelele Matukio mabaya ya CCM, mfano sasa mnatumia pesa za Umma kuwapa akina Jerry Muro, Le mutuz, Bashite, Lipumba kuwaua Wapinzani kuwapiga Risasi , pesa inayotumika kwenye mambo ya hovyo hovyo ni nyingi kuliko ambayo ingeongezwa kwenye mishahara ya watumishi wa Umma.Ukomavu utoke wapi.....kwa viongozi gani?wanachama gani?chama cha matukio!kilichofilisika hoja?ndo wameshapata hoja atiiii!![]()
![]()
![]()
Mtukufu malaika toka chato kaweka kigezo cha kwanza kupata cheo ni kuwatukana chadema hata ukiwa huna vyeti lakini ukawa jasiri kuwatusi chadema kwake yy ni Uzalendo.Du! Kumbe hiyo ndio staili ya kupata vyeo kwa mkulu? Haya bwana
Binafsi sikujua kama Jerry Muro ni mtupu hivyo kichwani, nilikua nadhani ni Kajamaa flani hivi smart kichwani kumbe hoa aisee.Moja kwa moja kwenye issue
Nimefuatilia kwa muda kiasi nimegundua kwamba Jerry Murro ni kijana smart uchwara hivi.ametafuta kona ya kupatia umaarufu akagundua ikiwa ataamzisha makelele na baadhi ya watu wenye publicity kubwa atapaa kwa haraka sana.amefanya uchaguzi sahihi wa kupitia chadema ili apate publicity.ila kitu alichowaweza chadema ni kuwaingiza kwenye mtego nao wakanasa haraka haraka.hawajajua kwamba nia yake ni kutaka chadema imsaidie kumnadi kwa Kwa Mkuu wa nchi.ilivyo ni kwamba sasa hivi ukikosana ukihitalifiana na chadema unaonekana mzalendo, sijajua ni kwa nini, unaonekana wewe ni mwenzao.unaweza kufikiriwa chochote kwenye ccm.hasa kipindi hiki
Ushauri ni kwamba Chadema angalie mbele .watu kama Muro wapoteza focus yenu kwa maslahi yao binafsi.huo ulikuwa ni mtego ambao nasikitika kuwambia mmeshanasa nusu.jamaa amescore point flan hapo.
Kwani ametumia ile style ya kuudhi ili mtu a-loose temper akose cobtrol.yaani ana-waprovoke.ni kama mcheza karata anaanza na karata ndogo ndogo ili baadaye awapige na dume.
Angalieni hilo sakata la kadiwani wala rushwa tayari linaanza kutaka kufifishwa
Hapa unamuongelea Bashite? au Jerry Muro? Kumbuka wote hawana vyeti na majina yao ni Bandia ingawa Jerry Muro yy kapitiliza kafoji hadi kabla katoka usukumani hadi uchagani.Kwanza anatumia vyeti na jina ambalo sio lake mwenye jina hilo alishafariki siku nyingi sana
Pili namshauri ashughulike kumtibu mkewe kuliko kumuacha kachanganyikiwa anahama makanisa kila kukicha (anajua anaumwa nini)
at least he talks better than Lema, na ni msomi mwenye akili zaidi ya Lema na msigwa
Kwa Juliana Shonza mlisema hivihivi kuwa anajisumbua. Leo hii kapewa ubunge na tayari waziri. Nina uhakika Jerry Muro akiebdeleza kupiga domo atatopoa muda wowote ule
njaa ni mbaya sana hasa hiyo njaa ya Jerry Muro ambayo imemfanya ajitoe fahamu zote na kuwa zero brain ili aweze kula pesa za Gambo, Bashite huku akishinda na kulala kwa Le mutuz kubwa jinga likimjaza upuuzi mwingi yakiwa ni maisha yao wanaishi kwa udalali wa siasa na Mungu kawalaani Le mutuz na Bashite hadi Leo hawajaweza kuzaa wala kupata hata watoto wa kusingiziwa, ni Aibu kujiita wanaume wakati hawawezi kutia mimba, Albadri imewanasa watanzania watashuhudia mengi ingawa Abdalah kambaya wa CUF kawaletea utitiri wa waganga wa kienyeji toka pande mbalimbali za Dunia.Binafsi sikujua kama Jerry Muro ni mtupu hivyo kichwani, nilikua nadhani ni Kajamaa flani hivi smart kichwani kumbe hoa aisee.
Nawaza huko loyola alikosomea kama ndiko kunatoa watu bogus wa aina yake. Sijaona hoja yoyote aliyotoa zaidi ya kuongea blah blah nyingi kwa kuzirudia rudia, ni kama hakua prepared au lah uwezo wake wa kuandaa majibu ndipo ulipofikia pale.
Ameongea irrelevant shits nyingi tu sijui ili kujazia muda ili nae aonekane kafanya press conference au hakua kabisa na cha kuongea ama yote mawili.
Yafaa aolewe kwanza kabla ya yote maana hana pa kukaa amehamia gheto kwa Le mutuz, vijana wa chadema lazima watazaa nae mimba ya kwanza hawaezi kumuacha kutumia chadema kama daraja la kuvuna pesa CCM na kwa Bashite binafsi.Mi nawashauri CDM wampotezee...wala wasihangaike nae.. Ajirushe...ajititimue akiona amna anaedeal nae atatulia mwenyewe
Kipimo cha Mtukufu Malaki wa chato dhidi ya Uzalendo ni kuwakomoa chadema, ukiwatukana chadema kwa magufuli wewe unakuwa mzalendo namba moja, kigezo cha Uzalendo kwa Mtukufu ni cha ajabu na cha kushangaza kote Duniani.Kwa Juliana Shonza mlisema hivihivi kuwa anajisumbua. Leo hii kapewa ubunge na tayari waziri. Nina uhakika Jerry Muro akiebdeleza kupiga domo atatopoa muda wowote ule
Kwa ubongo kama huu lazima utapewa cheo kikubwa huko kwenye chama chako cha kikanda&matukio!Leo mtapiga kelele mitaa gani?Wewe acha ufala huko CCM mna hoja gani ya maana zaidi ya kutumia pesa za Umma kwa mambo ya hovyo hovyo? Matukio yapi? Matukio yote mnayatengeneza CCM unataka Wapinzani wakae kiimya? Kazi ya upinzani ni kupigia kelele Matukio mabaya ya CCM, mfano sasa mnatumia pesa za Umma kuwapa akina Jerry Muro, Le mutuz, Bashite, Lipumba kuwaua Wapinzani kuwapiga Risasi , pesa inayotumika kwenye mambo ya hovyo hovyo ni nyingi kuliko ambayo ingeongezwa kwenye mishahara ya watumishi wa Umma.