dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
Utampata tu usikonde.
Angalizo: usiingilie anga zangu
Unataka mchumba wa kazi gani???
Habari za asubuhi wapendwa?
Na mtanguliza mungu kwa kumshkuru kunipa pumzi mpaka mudaa huu nao toa salam kwenu
Sina budi kuwatakia weekend njema
*natafuta mchumba*
come ooon Vinci usinipotezee bahati