J Malinzi si kiongozi wa mpira

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.
 
Hawezi chochote zaidi ya kuharibu soka, ana kiburi na hujuma kwa kila kilabu kinachotaka kupiga hatua mbele mfano suala la Muro na barua ya tff ya kishenzi iliyojaa vitisho, kiujumla hili dubwana linaendesha soka kama danguro.
 
basi pigeni kura ya kutokuwa na iman nae... au katiba inasemaje?

kama hamna namna, basi msubiri uchaguz ujao... maana na yy ni kiongozi halali aliyechaguliwa kwa kura halali.
 
itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.
Tumuhukum kwa hili moja tu uliloliita kosa japo hatujui kwa nini waliamua kupanga mjini.
Nadhani tungemlazimisha atupe sababu ili ndo tumuhukum vizuri
 
itakumbukwa aliweza kuitia hasara TFF kwa kupanga ofisi katika jengo la PPF kwa gharama kubwa ili hali ofisi zipo karume na mpaka alipokuja afisa wa fifa au caf kuhoji kwa nini upanga hapa wakati ofisi ipo?
sasa nawauliza wadau kwa hili Malinzi anafaa kuongoza mpira hapa nchini? mimi muono wangu ni mpenda starehe kwa kutumia pesa za taasisi hiyo anayoongoza.
Saga sumu ya chupa unywe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom