J. M. Kikwete Sec School - Matokeo 2012 CSEE



asante mkuu,hali inatisha sana sababu ata wanaomaliza darasa la saba awajui kusoma na kuandika,aya mambo ayakuwepo miaka ya 90 na 2000 mwanzon,na kurisit ni ngumu kufaulu siku hizi,awa watoto sijui watapelekwa wap? nazungumzia watoto wa kimaskin na familia za kati
 
 
Kama shule za kata zinachukua wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika unategemea matokeo yepi zaidi ya hayo
 
Dah mtasababisha baraza wasitoe majina ya shule maana kutoa matokeo ya wanafunzi kwa namba ni matokeo ya jina la kigogo mwanae kufeli
 
haya ndio matokeo ya mwaka huu
Rais wetu anazo shule mbili, shule yake ya pili imejitaidi sana!!!!

[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=2][/h][h=2][/h] [h=1] CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h] [h=3]S2008 JAKAYA KIKWETE SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 17 FLD = 59 [/h]
SOURCE:https://www.jamiiforums.com/matokeo2012/data/s2008.htm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…