J.K. Kikwete - Overstaying your usefulness!

Mbona nyerere baada ya kustaafu kutwa kucha alikuwa anaitisha press na alikuwa anaingilia mchakato wa wagombea wa ccm, ila hakuna aliemwona yuko kila sehemu, kweli aliwaroga wabongo pamoja na kututia umasikini wa kuvaa viraka, leo hii hata wa vijijini hakuna anaevaa viraka....
Nyerere hakutuletea uhuru mpuuzi yule, bali alijitwisha hio dhana ndio maana kila aliemshtukia alimfunga au kumfuza nchini...
 
Kama huwaoni wanaowaingiza wake zao bungeni halafu kula na kina Harbinder Singh, basi we upuuzi umekulemea na ni sehemu ya maisha yako.
 
So kwakifupi hata hauna idea unachobishana ni kitu gani ila unachojua ni kwamba hautaki kusikia mtu anasema jambo lolote negative kwa Kikwete.
 
Kama huwaoni wanaowaingiza wake zao bungeni halafu kula na kina Harbinder Singh, basi we upuuzi umekulemea na ni sehemu ya maisha yako.
Usingemjibu. Kuna wamezaliwa kujaza nafasi za ujinga ambazo zinabakia wazi kila siku watu wanapokufa. Huyo ni mojawapo. Mpotezee tu afe na ujinga wake.
 
Naunga mkono hoja

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Itoshe kusema huna akili wala adabu, tunakupuuza[emoji706]

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Askofu mkuu wa jimbo asiyejulikana ,Majimbo makuu hayafika tisa

Hao maaskofu wakuu wa Metropolintant ni maarufu na wanajulikana

Maaskofu wa majimbo ya kawaida ndio inaweza kuwa ngumu kuwafahamu

Mfano,Ask Rwaichi,Nyaisonga,Dallu ni maarufu

Huyo wa Songea ni maarufu

Songea ni jimbo kuu miaka mingi sana ndio limezaa jimbo kuu la Mbeya

Jimbo la Dar es Salaam,Songea na Tabora yana miaka mingi
 
Mzee anataka kupangilia future ya mwanae hapa kuna mawili inaweza kutokea au isitoke.Kwenye ulimwengu wa siasa muda mwingine kunakuwaga na surprise aombe isitokee surprise nyingine akatokea mtu dizaini ya jiwe
 
Lakini mna uhakika na yoooote haya?!!!!!!!
 
So kwakifupi hata hauna idea unachobishana ni kitu gani ila unachojua ni kwamba hautaki kusikia mtu anasema jambo lolote negative kwa Kikwete.
Napinga kunyooshea kidole kiongozi mstaafu kwa nia tu ya kumpinga. Kikwete anao mchango wake kwenye ustawi mzima wa Tanzania hivi ilivyo, haulazimishwi kukubaliana na fikra hizo ni uamuzi wako lakini ndio ukweli wenyewe.
 
Nani kasema hana mchango?

Hata Osama bin laden ana mchango kwenye jamii somewhere.

Kwani ina maana wewe hujui Kikwete anatuhumiwa kwa tuhuma zipi na kama unazijua naomba uziweke hapa bayana?๐Ÿค”
 
Nani kasema hana mchango?

Hata Osama bin laden ana mchango kwenye jamii somewhere.

Kwani ina maana wewe hujui Kikwete anatuhumiwa kwa tuhuma zipi na kama unazijua naomba uziweke hapa bayana?๐Ÿค”
Unaweza kuweka ushahidi hadharani ili tuhuma zako ziwe na mashiko?. Hizo ni chuki za kipuuzi tu.

Nitajie rais kati ya watano walioiongoza TZ tangu 1961 ambaye hakuwa na tuhuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ