ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,130
- 4,263
Kila mwenye mali mingi huwa ana hofu na mali zake namna ya kuziweka salama π π€·πΏββοΈ !Yana mwisho afanyao, tena mwisho wake na kizazi chake na wahuni wenzake kitakuwa kibaya sana sana..
SPOT ON!!!As a principle, every good dancer of player should know when to leave the stage. Same applied to politicians and others!
Overstay spoil every good legacy!
Mkuu usichanganye mafaili.Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.
Huwezi kusema Kikwete muda huu ni wa kustaafu wakati hujui anachomshauri Samia ni kitu gani. Samia ana bahati ambayo marais wengi wa ukanda huu wa afrika hawana, kuwepo mstaafu pembeni ya aliyepo madarakani ni kielelezo cha uwepo wa amani Tanzania, tulitazame hili suala katika mtazamo mpana sio kuongozwa na chuki.
Kikwete kuwa hai sio makosa yake ni mapenzi ya Mungu anayepanga fulani aondoke siku fulani.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
Tunajadili usalama wa taifa wewe unajadili mapenzi ya dhati uliyonayo kwa kikwete sijui kama nani kwako sasa?Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.
Huwezi kusema Kikwete muda huu ni wa kustaafu wakati hujui anachomshauri Samia ni kitu gani. Samia ana bahati ambayo marais wengi wa ukanda huu wa afrika hawana, kuwepo mstaafu pembeni ya aliyepo madarakani ni kielelezo cha uwepo wa amani Tanzania, tulitazame hili suala katika mtazamo mpana sio kuongozwa na chuki.
Kikwete kuwa hai sio makosa yake ni mapenzi ya Mungu anayepanga fulani aondoke siku fulani.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
Uchawa ni ugonjwa mbaya sanaTanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.
Huwezi kusema Kikwete muda huu ni wa kustaafu wakati hujui anachomshauri Samia ni kitu gani. Samia ana bahati ambayo marais wengi wa ukanda huu wa afrika hawana, kuwepo mstaafu pembeni ya aliyepo madarakani ni kielelezo cha uwepo wa amani Tanzania, tulitazame hili suala katika mtazamo mpana sio kuongozwa na chuki.
Kikwete kuwa hai sio makosa yake ni mapenzi ya Mungu anayepanga fulani aondoke siku fulani.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
Unataka kuniambia mimi au wewe tuna uchungu na taifa hili kuliko JK aliyekuwa rais wa TZ kwa awamu mbili?.Tunajadili usalama wa taifa wewe unajadili mapenzi ya dhati uliyonayo kwa kikwete sijui kama nani kwako sasa?
Sisi kama wanainchi tunaona uwepo wake unaleta shida katika maendeleo na masilahi ya inchi kwa upana.
Issue ingekuwa ni udini basi viongozi wote waislam walipo serikalini wangekuwa wanapigwa vita ila mbona wapo ambao wanapendwa sana na hata wakiondoka watu wanataka wabakie. Mwinyi kwa mfano mbona alipendwa sana? Ulishawahi kusikia mwinyi anatukanwa na kuchukiwa?
Nadhani unatakiwa kujua unajadili jambo gani na kwa nani.
JK anatupiwa mzigo wa lawama na sisi wengi wetu ambao hatujui chochote kwenye masuala ya kisiasa.Mkuu usichanganye mafaili.
Kweli uhai wa mtu ni mapenzi yake Mungu.
Kama livyobarikiwa mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, uhai huwa ni baraka, baraka isiyoweza kuondoshwa na mtu yeyote hadi Mola mwenyewe apende.
Lakini kucheza namba 10 ya kisiasa, kwa miaka mingi tu, hilo ni swala jingine kabisa na mtu asijidai haeliwi hilo.
Mkuu usimwingize Mungu katika siasa unaxozielewa wewe.JK anatupiwa mzigo wa lawama na sisi wengi wetu ambao hatujui chochote kwenye masuala ya kisiasa.
Ni baraka kwa taifa kuwa na rais mstaafu mwenye uhusiano mwema na rais aliyepo madarakani.
Chiluba alimfunga Kenneth Kaunda baada tu ya kuingia ikulu, marais wastaafu wengi wanakutana na cha moto baada ya kuondoka ikulu.
Tanzania tunayo amani, JK akiwa mstaafu hana mikwaruzano na Samia kama ambavyo Mkapa hakuwa na mikwaruzano na JK.
Huwezi kukwepa uwepo wa mstaafu, ni mipango ya Mungu mambo yawe kama yalivyo hivi sasa.
Habari yako bila ushahidi ni chuki dhidi ya kikweteMheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyangβanyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandao miaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublackmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Salim Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi aliowaona ni kizingiti kwake au waliomkosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikitika sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Kama umezaliwa jana, si kosa langu.Habari yako bila ushahidi ni chuki dhidi ya kikwete
Sijazaliwa jana laiti mshua wako angechelewa sekunde tu mi ningekua mshua wako bi mkubwa nilimmendea sana sema mshua wako aliwahKama umezaliwa jana, si kosa langu.
Tuseme nini, huna hoja kijana.Sijazaliwa jana laiti mshua wako angechelewa sekunde tu mi ningekua mshua wako bi mkubwa nilimmendea sana sema mshua wako aliwah
Mkuu tumpe tu heshima yake, ila ame overstay katika siasa.Huyu ni moja ya marais wapumbavu zaidi kuwahi kutokea Tanganyika
Pia nyinyi mnaolalamikia kitu msichokuwa na uhakika nacho hamna hoja pia. Unapotuhumu bila kuwa na ushahidi wa asilimia mia moja, huna hoja pia.Mkuu usimwingize Mungu katika siasa unaxozielewa wewe.
Itoshe kusema huna hoja.
Mkuu amani au utulivu??Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.
Huwezi kusema Kikwete muda huu ni wa kustaafu wakati hujui anachomshauri Samia ni kitu gani. Samia ana bahati ambayo marais wengi wa ukanda huu wa afrika hawana, kuwepo mstaafu pembeni ya aliyepo madarakani ni kielelezo cha uwepo wa amani Tanzania, tulitazame hili suala katika mtazamo mpana sio kuongozwa na chuki.
Kikwete kuwa hai sio makosa yake ni mapenzi ya Mungu anayepanga fulani aondoke siku fulani.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
Mkuu wananchi wanaposema mzee wetu Kikwete apumzike siasa, si kwamba wanataka kumkamata na na kifurushi au kiroba cha mbuzi.Pia nyinyi mnaolalamikia kitu msichokuwa na uhakika nacho hamna hoja pia. Unapotuhumu bila kuwa na ushahidi wa asilimia mia moja, huna hoja pia.