Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,166
- 29,867
Mhiii hatariMheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutiksa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz to Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na hafe caste mmoja wa kijerumani aliyekuwa jeshini. Walio wapa backing ni Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Biyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandaomiaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublckmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
S Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Sali A Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amfisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi alioona ni kizingiti kwake au kuwakosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikilka sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Ukimkosaoa Kikwete kuna kikosi kimeundwa kusema ni udiniMheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandaomiaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublckmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Sali Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi alioona ni kizingiti kwake au kuwakosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikilka sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Uswahili ni laanaKisa chake na Kamanda Sayore pale Monduli kinamuelezea uhalisia wake
Kikwete wakati wa uongozi wake aliacha utendaji wa aina yake.Ukimkosaoa Kikwete kuna kikosi kimeundwa kusema ni udini
Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandaomiaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublckmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Sali Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi alioona ni kizingiti kwake au kuwakosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikilka sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Em shusha kisa kizima, ili waja tupate kufahamu kulikoni.Hivi unajua tabia JK ilianza jeshini mpaka kutimuliwa, ilibaki kidogo leo tungekuwa na utawala wa jeshi kama wangemuacha na angekuwa mpaka leo.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
kipo hapa jfEm shusha kisa kizima, ili waja tupate kufahamu kulikoni.
As a principle, every good dancer or player should know when to leave the stage. Same applies to all politicians and others!Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi la kina Lowassa, Azan El Jabry, na half caste mmoja wa kijerumani, officer aliyekuwa jeshini.
Walio wapa backing kundi la Boyz II Men ni kina Samwel Sitta, kina Anna Makinda na Rostam Aziz na wengine.
Ndio uasisi wa Mtandao.
Mwaka 1995, Mwalimu alitumia ujanja mkubwa kuwazima Boyz II Men, ambapo JK alishinda kinyang’anyiro cha kura ndani ya CCM, ili ateuliwe kugombea Urais.
Busara na hekima ya Mwalimu ilimzuia Kikwete na mtandao wake, na hatimaye Mkapa ndio akateuliwa kugombea na kushinda Urais.
Kundi la Boyz II Men likaunda rasmi Mtandaomiaka ya Urais wa Mkapa, na likawa na nguvu kubwa kiasi cha kublckmail watia nia wengine.
Wengi waliundiwa mizengwe tunayoikumbuka hadi leo.
Kati ya waliopigwa mizengwe ya kutisha ni Salim Ahmed Salim, na Prof Mark Mwandosya.
Salim Ahmed Salim aliambiwa ni kibaraka wa waarabu waliofadhili utumwa, na Sali Ahmed Salim aliumia kiasi cha kutoshiriki toka wakati huo siasa zozote nchini.
Mwandosya aliundiwa zengwe eti amefisadi fedha akiwa waziri na kusomesha watoto wake South Africa, lakini Mwandosya hakukata tamaa na akaendelea na siasa nchini.
Huyo ndo Jakaya mrisho Kikwete aliyeapa mbele ya chama kuwa Fitina kwake ni mwisho, lakini fitina imemjaa tele.
View attachment 3453193
Sina haja ya kuongelea uongozi wa JK, lakini wengi alioona ni kizingiti kwake au kuwakosoa, fuatilia kwa makini, wote wameonja joto la jiwe.
Na hapo si kina Babu Seya tu, hata waliomo serikalini (hata kwenye Idara)ambao waliona Kikwete kuwa playboy na hayuko serious na kazi yake, starehe mingi.
Tukirudi kwenye mada.
Ngoma ikilka sana na kwa muda mrefu, ngozi huchanika!
Kimwete yupoo, miaka mingi, umaarufu wake umemfikisha hapo.
Lakini mambo ya kisiasa yanabadilika kila uchao.
Influence ya Kikwete wakati wa Magufuli iligonga mwamba, lakini kwa mama Samia ni dhahiri, kiasi cha mama Samia kumuita Bosi wake.
Ni vema Kikwete kukaa pembeni sasa maana hata wengi wameanza kumchoka, hadi hivi majuzi huko Songea Askofu asiyejulikana sana ,kumpakia vipande vyake.
Kama mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Kikwete anatakiwa sasa kucheza na wajukuu akizihesabu baraka zake hadi wakati huu.
Tumekuwa na wastaafu wengi, tunaongelea ngazi ya Urais, kuna kipindi tulikua na Mkapa, Mwinyi,huyu Kikwete kama wasataafu kwa mkupuo.Ajifunze namna Mkapa na Mzee mwinyi walivyokua wana-behave, wanaongea na kutokea panapostahili, wakati mwingine mpaka mnasahau kama wapo, sio kwamba walikua hawamshauri Rais, la hasha, boundariea zilikuwepo.Tanzania ni nchi yenye kuongozwa na baraka pamoja na uwepo wa Mungu. Kuwa na Rais Mstaafu aliye hai ni baraka kwa rais anayekuwepo.
Huwezi kusema Kikwete muda huu ni wa kustaafu wakati hujui anachomshauri Samia ni kitu gani. Samia ana bahati ambayo marais wengi wa ukanda huu wa afrika hawana, kuwepo mstaafu pembeni ya aliyepo madarakani ni kielelezo cha uwepo wa amani Tanzania, tulitazame hili suala katika mtazamo mpana sio kuongozwa na chuki.
Kikwete kuwa hai sio makosa yake ni mapenzi ya Mungu anayepanga fulani aondoke siku fulani.
Huyo Baba Askofu angeweza kumwambia Mwalimu Nyerere au Mkapa kwamba umefika muda wa kustaafu?.
Anaweza kumwambia Warioba maneno haya haya anayoyasema kuhusiana na Kikwete?.
Nitag kwa huo uzi plz.kipo hapa jf
Ukirejea hotuba mbalimbali za JK Nyerere utabaini kuwa yale yale aliyoyapinga miaka ya nyuma dhidi ya viongozi fulani ndo yale yale yanayojiri kwa sasa!Tumekuwa na wastaafu wengi, tunaongelea ngazi ya Urais, kuna kipindi tulikua na Mkapa, Mwinyi,huyu Kikwete kama wasataafu kwa mkupuo.Ajifunze namna Mkapa na Mzee mwinyi walivyokua wana-behave, wanaongea na kutokea panapostahili, wakati mwingine mpaka mnasahau kama wapo, sio kwamba walikua hawamshauri Rais, la hasha, boundariea zilikuwepo.
Pili kuna mambo ya hovyo wananchi wanayasema, huyu kama mshauri mbona hatuoni akisema chochote, ubamkumbuka Mzee Nyerere, alikua akiongea kwa kukosoa hata Rais aliyeko madarakani, hadi chama chake - sio kuwa kama chawa tu...
Kwa baadhi ya watu na tabia zao !Uswahili ni laana