J.J Mnyika: once again, well done, keep up the pace, hit them up

J.J Mnyika: once again, well done, keep up the pace, hit them up

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,230
Reaction score
10,201
Nitumie Fursa hii tena Kumpongeza Mbunge wetu wa Ubungo na Mbunge wa Wa Tanzania woote kwa Ujumla, John Mnyika.
Kazi yako Bungeni kwenye Kikao kilichopita outcomes zake ndo zinaonekana kwa Sasa.Haihitaji kuwa na Degree kuliona hilo.

Mosi, Tumeona jinsi Waziri wa Maji Prof Maghembe alivyoanza Kuhaha haha baaada ya Hoja yako Iliyokatiliwa na Naibu Speaker (Ambaye bado tunaendelea kumshinikiza ajiuzulu).

Alianza kwenda kwao kupokelewa eti Kishujaa, mara akaibukia Goba kuongea na Wananchi jinsi suala la Maji linavyoshughulikiwa.
Mara Kaibuka na Wafanyakazi wa DAWASA na DAWASCO kana kwamba wao ndo Mzizi wa tatizo la Maji Ubungo na Dar Es Salaam kwa Ujumla.

Pili tumeona jinsi gani Nape alivyotumwa na CCM kuanzisha Propaganda Dhaifu juu ya Elimu Yako John Mnyika.
Hakuwa Peke yake bali pia alikuwa na Makapi yetu tuliyatupia Jalalani, namaanisha Juliana Shonza na Mtela Mwampamba.
Kama kawaida yetu wapiga kura wako tuko Nyuma yako na tumezipuuzia Propaganda zao na kuzidi Kuwadharau na wao kuzidi kujidhalilisha na Kujivua Nguo Mbele ya Jamii.

Kali ya Mwaka ni ya Mwenyekiti wao Jana, kaishia tu kusema "Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know, Ubungo kuna Shida ya Maji"

Na kama haitoshi Kuna tetesi kuwa anataka kuja Kutembelea Ubungo (Anataka kungea na Wapiga Kura wako john Myika)
Kwa watu weredi tumemuelewa kuwa Kile Kimbunga cha Hoja yako Kimemtetemesha na yeye.

Sasa ukiona hadi "Kubwa la Maadui lao" Limeanza kuweweseka je vp kwa Maadui wadogo wadogo,e.g akina Mwigulu Nchemba, @Nnauye Jnr etc etc.

John Mnyika, Keep up the Good Move, Keep up the Spirit, Keep up the Pace, Keep on Sandwitching Them.

KEEP ON HITTING THEM UP
 
Ukiona hata Gambalao limeweweseka ujue hoja ya JJ imewakamata pabaya!!!
 
Kali ya Mwaka ni ya Mwenyekiti wao Jana, kaishia tu kusema "Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know,Who doesn't Know, Who doesn't Know,Who doesn't Know, Ubungo kuna Shida ya Maji"

ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... who doesn't know!!!! kweli hii kali.lol!

Ingefaa watengeze t-shirt na kuweka hayo maneno!
 
JJ kipanga. Nahisi hoja yake imeamsha hisia za wananchi wa pwani na ...kuandamana.

Lakini wameona serikali janja haikusudii kutatua tatizo la maji nchi hii pamoja na uvumilivu wao miaka 51 ya uhuru bila maji safi. Shame on ccm! jk!, speeker! na prof! kutokubali hoja ya JJ.
 
Kweli Nape ni kichwa duni sana Bongo.........itabidi Dr.Slaa amkabidhi kijiti cha urais huyu kijana 2020
 
Ule mkwara wa siku 14 alizopewa Maghembe sio mdogo ati.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... who doesn't know!!!! kweli hii kali.lol!

Ingefaa watengeze t-shirt na kuweka hayo maneno!

This is a best Idea.likae it.

Halafu akiwa ktk huo mkutano wanaubungo wanavaa ujumbe uwe

"Nani asiyejua kuwa hamna maji...?
Ila sijui yatatoka Lini!! By JK

AU
Nyingine!!
"Who doesn't know... Spika hataki maji Ubungo
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu Na leo Mnyika alikuwa Goba kuzihirisha jinsi gani Magembe alivyowadanganya wananchi wa Goba kuwa come 20th Feb Goba wataanza kupata maji kwenye bomba.Safari mpaka chini wakae!
 
kofia na viatu vyao vimeanza kuwa pwaya shame to magamba Lol!
 
Mnyika keep up! Mungu akutie nguvu. Watu dhaifu km Nape wasikukatishe tamaa ni makapi tu hao!! Keep up tuko pamoja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dsm , kuna shida kubwa sana ya maji , haiwezekani hoja muhimu kama hiyo izuiliwe kuzungumzwa wakati watu wanateseka , wabunge wa Dsm wa CCM Wanaenda kupotea soon kama hawatakuwa upande wa wananchi
 
na bado mpaka wajute kuzaliwa hao magamba wamesahau leo sio jana. kila kitu kina mwisho
 
Back
Top Bottom