J.j. Mnyika mbunge mteule jimbo la ubungo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

J.j. Mnyika mbunge mteule jimbo la ubungo.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtuwetu, Nov 2, 2010.

 1. M

  Mtuwetu Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni habari ya uhakika, Kamanda J.J. Mnyika amelitwaa jimbo la ubungo baada ya NEC kushindwa kuchakachua kura.
   
 2. K

  Kim Jong Il Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  data mdau..
   
 3. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Jimbo la Ubungo - UBUNGE: John Mnyika (CHADEMA) 66,743 Hawa Ngumbi (CCM) 50,554. Mtatiro (CUF) 12,000+. Mnyika ndio Mbunge Mteule wa Ubungo.

  :smile-big::smile-big::smile-big:
   
 4. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Hongera sana Mnyika. Sasa ni kazi mbele kwa mbele.

  Hili jimbo walijiandikisha watu karibu 450,000 na wamepiga kura kama 119,000 kwanini? Watu wote wamepotelea wapi? Hiyo ni kama asilimia chini ya 30.

  Haiwezekani kwa Dar watu wote wakagoma kwenda kupiga kura.
   
 5. s

  shade Senior Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  peope's? power has been demonstrated at Ubungo
   
Loading...