Izingatiwe na UKAWA haraka sana!



Wewe acha kuongea bila kutumia akili.
Chadema ilisimamisha wagombea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa watashindwaje kuwa na watendaji wa chini kabisa?
Kwani chadema unawaonaje? Masikini sana? Au hawana watendaji hadi chini kabisa.
 
Sijui utaratibu ukoje wakati wamajumuisho!
JE, WAKIMALIZA KUHESABU KURA KWENYE KITUO MAJUMUISHO KWENDA KATA NA JIMBO YAKOJE? MABOX YAPELEKWA HUKO AU?
 

Mnapagawa sana ukawa huku kushindwa kwenu kumeshawachanganya kila siku mnaropoka yasio na tija.
 

HILO NI JEMA SANA!
UONE UONGOZI !

n.b/
****
lengo kuu la IDENTITY ni kukataa baadhi ya vituo ambavyo huenda vikawepo sirini!
hasa/
(makambini) ama popote Pale ISIVYO HALALI!
 
inatakiwa muajiri vijana 65000 haraka sana,kila mmoja apewe kituo chake na mawasilian ya uhakika ili aweze kuwatumia matokeo haraka.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…