Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,371
- 14,515
Tunawaomba wana UKAWA na viongozi wote wa UKAWA mdhibiti suala hili;
- Hakikini vituo vyote 65000 kituo kwa kituo kwa kuvikagua katika maeneo yote vilipo nchi nzima!
- Baada ya kuvikagua vipeni identity numbers vituo vyote 65000 vitakavyotumika kwa upigaji kura Tanzania yote!
Utaratibu huu utasaidia sana katika kuvichuja 'vituo batili au feki' vinavyotaka kuongezwa na wahuni wachache ndani ya mfumo.
Vituo vile ambavyo ndivyo vilivyopewa identity number ndivyo pekee vitakavyoruhusiwa kuwasilisha matokeo for special identity keys.
Ninashauri zoezi hili lianze mara moja kwa viongozi wa UKAWA baadhi yao kulikalia rohoni na kuhakiki.
Nawasilisha..
Kwahiyo Nec wapokee kura kwa identity namba zenu!
Mbona mna wasi wasi sana??
Ukiwa mnawaza kuibiwa kabla hata kura hazijapigwa mmeshashindwa tayari hofu ni ugomjwa raisi magufuli anasubiri kuapishwa tu
Jambo hili lizingatiwe na lipewe umuhimu mkubwa na ufuatiliaji wa hali ya juu,ukizingatia madiwani wapo bize kwelikweli hizi wiki mbili

Duh!!!,ndo maana umejiita Mjusi,umeitendea haki ID yako.
Thanks.
You have made it simple.
Diwani ahakikishe anavijua vituo vyake vyote then awasilishe kwa Mbunge ambaye atawasilisha kule National Tallying Centre...KAWE.
The only serious complication ni kama tume ikikataa kutoa nakala ya daftari lenye orodha ya vituo. Ikishakuwepo orodha, ni jukumu la kila mgombea ubunge na viongozi wa jimbo husika kushirikiana na wagombea udiwani katika kata na viongozi wao kuhakiki physical presence ya vituo hivyo ndani ya maeneo yao.Logistical nightmare, ni rahisi kwa wewe kusema! kama hawajafanya haya, kwa muda uliobaki, hayawezi fanyika, alafu hofu ya kuibiwa ndo inawamaliza, mnapanga vitu vingi na complicated mpaka vile vya msingi mnaviacha!
Keep it simple guys! msipaniki!
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video

Hilo jambo sio la kuongea JF.. Nenda pale Makao Makuu ukawaeleze hili vizuri..
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video
Thanks.
You have made it simple.
Diwani ahakikishe anavijua vituo vyake vyote then awasilishe kwa Mbunge ambaye atawasilisha kule National Tallying Centre...KAWE.
Na gharama inapungua ya kufanya hiyo shughuli.
Vitu vingine vinatakiwa visimamiwe na watendaji wa chini kabisa kwenye kata na mitaa.
Kazi ya kukagua vituo kwenye kata yangu inachukua saa moja na gharama haizidi hata 10,000.
Ni kazi ya kuzunguka na pikipiki au bajaj eneo lote.
Nilipendekeza nitengeze app ya android bure ili tuweze ku geotag vituo vyote ili tuzuie bao la mkono lkn wenzangu wa ukawa walikula pini. Bado nafasi ipo. App itaweza kutoa coordinates mahali kituo kilipo, kura ngapi na taarifa nyingi kadri zitakavyohitajika, zikiwemo picha, sauti na video
Makao makuu ipi ya Ufipa? Hakuti mtu. Au hujui Chadema imenunuliwa na bosi mpya hawezi kukaa uswahilini huko?