Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,387
- 38,663
Kuna Pande mbili zinavutana kwenye mjadala huu. Upo upande unaoonesha kwamba Lowassa ndiye mhusika MKuu wa Sakata la Ricmond kwa ivo ameliingizia taifa hasara kubwa. Lakini lipo kundi jingine ambalo linaamini kwamba Lowassa asingeweza kufanya jambo kubwa kama la Richmond peke yake. Kundi hili linaamini Lowassa katolewa kafara ili Serikali ya Kikwete isianguke.
Lakini hili jambo lina maslahi makubwa sana kwa taifa, hapa itambulike kwamba kinachozungumzwa ni Kampuni iliyoleta mtambo wa Kufua umeme, lakini mitambo yenyewe haina tatizo kwa watanzania. Kwa ivo kwa kuwa Lowassa hasa ndiye aliyelengwa na kashfa hilyo ni yeye pekee ama amelisababishia hasara taifa au la.
Lakini hakuna jambo lisilo na mwisho. Na Sisi kama taifa inabidi tufikie mwisho wa hili suala. Ni nini kifanyike ili mwisho wa Sakata la Richmond ufikie?