Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,435
Qhahhaah tafuta uondokane na stress za kutuma na ya kutolea......basi kama ni hivyo na mimi niombe mwanamama yeyote humu aliye tayari ajitokeze nipate kula mema ya nchi.....
Mkuu naona umeshakamata ki ajuza chako umekuja kutafuta justification humu..π We endelea tu mkuu sisi hatuna nenoHello π
Kudate na mtu amekuzidi umri kuna utamu wake sana yaan ata mwanaume ukidate na mwanamke amekuzid hamsumbuan raha tupu mapenzi mubashara mda wote hakuna utoto
Kwa wanawake serenity wenyewe mnajisikiaje kudate na mtu amekuzid umri?
Mbona ajuza tena π€£π€£π€£Mkuu naona umeshakamata ki ajuza chako umekuja kutafuta justification humu..π We endelea tu mkuu sisi hatuna neno
Wenye umri mkubwa si unajua soko liko chini so inabidi avumilie tu hana jinsi, na ndio maana wanakua wapole sana manake sasa wataenda wapi..? ππManaake hapo yeye huyo mwenye umri mkubwa anakuwa anadate na chalii anayemsumbua ila anamvumilia tu!!?
Nani kasema wivu unakusumbuaManaake hapo yeye huyo mwenye umri mkubwa anakuwa anadate na chalii anayemsumbua ila anamvumilia tu!!?
Wewe unawivu mbaya sana naona dalili za vidonda vya tumboWenye umri mkubwa si unajua soko liko chini so inabidi avumilie tu hana jinsi, na ndio maana wanakua wapole sana manake sasa wataenda wapi..? ππ
Ndugu yangu, wewe ukiona una date na ajuza hakusumbui ujue huyo ajuza kwanza anashukuru Mungu kukupata manake kwa umri wake nani anamfata? Kwahiyo usitegemee eti akusumbue, sijui vibomu au nini..Wewe unawivu mbaya sana naona dalili za vidonda vya tumbo
Tumepishana miaka 3 kuna shida hapo af kuwa na adabu unamuitaje ajuza?Ndugu yangu, wewe ukiona una date na ajuza hakusumbui ujue huyo ajuza kwanza anashukuru Mungu kukupata manake kwa umri wake nani anamfata? Kwahiyo usitegemee eti akusumbue, sijui vibomu au nini..
Hawa pisi kali miaka 20-25 wanasumbua sana kwasababu soko lao liko juu na anajua hata ukimuacha kesho ana mwingine.
Sio wivu mkuu, ndio uhalisia.
Hawana baba kabisa na kuzinguana marachache sanaMie naona kwa mwanaume kudate na mtu aliyekuzidi umri ni bora zaidi.
Na ninapendelea wakubwa kiumri kwangu, kuliko wadogo.
Ushauri wako kwetuUnachokipenda utakipa dhamani. Hakuna cha kuzidu umri au laah.
Pia kila binadamu anapenda kisichompa wakati mgumu kukipata au kukifia. So ishi na mshangazi
upo sahihi maana nina uzoefu katika hiloMie naona kwa mwanaume kudate na mtu aliyekuzidi umri ni bora zaidi.
Na ninapendelea wakubwa kiumri kwangu, kuliko wadogo.
Sisi ndo raha zaidi....ukitaka chochote unapewa huulizwi ulizwi mara mbilimbili...raha tupu yaani...ukitaka ukajisokote vibia 50k ya fasta fasta hii hapa!..achana na maokoto mengine hayo ni Constant kama pie22/7.Hello π
Kudate na mtu amekuzidi umri kuna utamu wake sana yaan ata mwanaume ukidate na mwanamke amekuzid hamsumbuan raha tupu mapenzi mubashara mda wote hakuna utoto
Kwa wanawake serenity wenyewe mnajisikiaje kudate na mtu amekuzid umri?