Bill of Quantity JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 1,233 Reaction score 407 Jan 21, 2015 #1 Iwe bojo, nitumie message ushinde mihela.. heheheheee!! (Kwa lafudhi ya kihaya-sauti isiyo na shida!!) Habari zilizo mujini ni kwamba Jay millions ni pesa zetu za Escrow ambazo J-Ruge anazichezea akishirikiana na Wezi Vodacom... Iwe Bojo-shituka!
Iwe bojo, nitumie message ushinde mihela.. heheheheee!! (Kwa lafudhi ya kihaya-sauti isiyo na shida!!) Habari zilizo mujini ni kwamba Jay millions ni pesa zetu za Escrow ambazo J-Ruge anazichezea akishirikiana na Wezi Vodacom... Iwe Bojo-shituka!
Rogie JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 7,601 Reaction score 6,723 Jan 26, 2015 #2 Acha kupotosha.