Ivory Coast Vs Tanzania


Mia Mia
 
Watu wengine labda mjiunge na klabu za chibuku !! Ni second yellow tena kwa professional faulo maana wangeenda kufunga bao. Mwenye kosa ni Ngassa ambaye badala ya kutoa pasi kwa mtu aliyefungua mbele yake, yupo half ya adui tunashambulia anatoa pasi fyongo nyuma kwa beki.

Kama hamjui kabumbu au mnakuja na mmeshakunywa mataputapu bora mkitoe mapema. Leo timu imecheza vizuri sana na utaona hata wao walishaanza kuwa na wasiwasi na goli la pili wameshangilia sana..! Hawa wakija bongo, nchi ya fisadi JK lazima wapigwe bao. Huyo kocha akikaa na timu muda mfupi ujao tutaweza kuanza kukenua...

uyo aliyetoka kwa kadi nyekundu wasimpange tena, tatizo la wachezaji wetu ni wavuta bange na vibaka wa magomeni, anafikiri hapo anacheza na yanga au azam....
 
Tumejitahidi sana! Naipongeza Tanganyika, kwani Tanzania ilikula nne kule Senegal mwa majuzi chini ya Mapunda!
 
Tumelala 2-0

Tuwasubiri Gambia na Morocco sasa......Ila Ngassa kaisha jamani......

I wish Haruna Moshi angekuwepo leo.........Huyu Bocco ni garasa tu
 
Uzalendo ni pamoja na Kusema ukweli!kulazimisha kutaka timu yetu ishinde sio kipimo cha uzalendo, wakati ukweli haupo hivyo!! Angalieni na presha za mioyo yenu! Hakuna mpira wa kujipa presha hapa jamani!! Hivi mnajua hapo tunacheza na akina nani, na wamefikaje hapo walipo?? Wanalipwa shilingi ngapi kwa wiki? Wanafundishwa na Makocha wa viwango gani! Acheni banaa!!
 
Afadhali tuondokane na maudhi yako hapa

Mauzi nakupa mimi mauzi wanakupa wachezaji wa timu yako ya Simba Mseto ooh sorry Taifa Stars,pamoja na kukaba na viwiliwili mzobe-mzobe style lkn wamechezea vi'wili,billion 23 za TBL team haina hata matumaini bora hizo pesa wangepeleka board ya mikopo watoto wa walala hoi wakasoma,Taifa lingetengeneza wasomi kwa maendeleo ya nchi kwa ujumla,kuliko kuwapa kina Agrey Moris wanacheza utumbo tu
 
Full Time

Ivory Coast 2-0 Tanzania
(Magoli ya CIV yamefungwa na Salmon Kalou dk ya 18 na Didier Drogba dk ya 75)
 
FULL-TIMEIn Ivory Coast where the Elephants have beaten Tanzania 2-0 to get a solid first win for new coach Sabri Lamouchi.
 
Ila watu wanamlalamikia aliyepewa Card Nyekundu mliona kipasi kilichotolewa ndio ilisababisha Pasi ya hospitali mtu katowa ndogo kweli kama kuvuta bangi na wezi wa magomeni wote wawili aliyetowa pasi na aliyemkata mtu kizembe. ndio wachezaji ambao kazi yao wanafikiria kusafiri kijiweni wakawape habari wavuta bangi wenzao namna mji ulivyo Abidjan na kwamba kaalikwa msosi na Drogba nini nyie chezeni mpira siku nyengine tutawapokea na fimbo za *****.
 
uyo aliyetoka kwa kadi nyekundu wasimpange tena, tatizo la wachezaji wetu ni wavuta bange na vibaka wa magomeni, anafikiri hapo anacheza na yanga au azam....

huyo ndio alikuwa kauzibe ndio maana baada ya kutoka wakapata goli la pili tumia akili wewe kufikiri...
 
U pu-pu jamani nimatusi ? si majani tu yale ya kuwasha?
 
uyo aliyetoka kwa kadi nyekundu wasimpange tena, tatizo la wachezaji wetu ni wavuta bange na vibaka wa magomeni, anafikiri hapo anacheza na yanga au azam....
Hapana, hiyo kadi kaipata kihalali. Mana pale jamaa alikuwa anabaki na kipa. Pasi aliyotoa Ngassa ndio ina makosa zaidi, Sidhani kama kadi hii ni mbaya kama ile aliopewa Nyosso na El Setif.
 
Tumelala 2-0

Tuwasubiri Gambia na Morocco sasa......Ila Ngassa kaisha jamani......

I wish Haruna Moshi angekuwepo leo.........Huyu Bocco ni garasa tu

KAKA
acha uzushi,vijana wameonyesha mpira mzuri sana
tatizo lenu mna wachezaji wenu muwatakao ndio mana nampenda maximo hakuwa akisikia kelele zenu za usimba na uyanga
 
Pasi Bomu kabisa ile siku nyengine kama anatowa pasi ile akaze mwili ampigie kipa tu.
 
Thanks Taifa Stars...mmecheza vizuri...sikutegemea performance hii...nyumbani na sapoti ya friends of STARS tutawapiga bao....

Ninalala bila ndoto za jinamizi... Sio kama ile siku ya Shandy...usiku kucha naweweseka... Alamsik!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…