Jukwaa la MmU na sio la lugha.
Dah umetudharau kweliKama bado unampenda muoe tu mkuu,,, wanawake hawajawahi kupata akili ya uaminifu,,!
Utachangia mada imejaa utumbo mtupu.Jukwaa la MmU na sio la lugha.
Changia mada husika.
Hongera saana kwa kusoma utumbo
Una akili sanaAmekuona wewe ndio mzembe wake.Na si ajabu ukakubali.
Hongera ya kejeli siipokei, wewe chukua time ujifunze kiswahili vizuri.Ni aibu kuchapia lugha ya taifa.Ivi, uyu, ajatulia ndo madudu gani.Hata darasa la pili hawezi kuandika hivyo.Hongera saana kwa kusoma utumbo
Fungua tuition Basi mkuu. Sio kwa 'povu' hiloHongera ya kejeli siipokei, wewe chukua time ujifunze kiswahili vizuri.Ni aibu kuchapia lugha ya taifa.Ivi, uyu, ajatulia ndo madudu gani.Hata darasa la pili hawezi kuandika hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sanaAmekuona wewe ndio mzembe wake.Na si ajabu ukakubali.
Nipe namba yame nimwambie akukome kabisaNiliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Mbona hujaomba ushauri? HeheheeNiliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kila thread naona hii "pambana na hali yako"...
Kajengeni familia kwa tofali za biskutiNiliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Jengeni mi ntapaka rangiNiliachana nae kisa ajatulia kwa kumfumania na kidume kingine eti leo ananambia anataka ajenge familia na mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana, aisee!Yaani akiangalia list yake haoni BWEGE atakayemvumilia zaidi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app