Wanao lewa na kuanza kutukana ama kuwa na hasira za ajabu ajabu kunaweza kusababishwa na mambo kadhaa... mojawapo ni kutokuwa na uhakika wa kesho yake ataishi vipi, baada ya kumaliza pesa zake kwa kulewa.
Aidha matatizo ya muda mrefu katika familia yake/kazini kwake/kwa rafiki zake yanaweza kumfanya mtu aliyelewa kutuka hovyo... kwa kujitafutia japo faraja kidogo wakati huo, na kabla pombe kumtoka kichwani.