Ivi ni mapenzi au?

Hiyo wamepiga picha kwa ajili ya kupost kwenye mitandao, hakuna uhalisia.
 
Yani unabeba bao lako mwnyw halaf unamsuka na mama watoto

Kufanya kimoja kwa wakat inawezekana lkn sio vyote kwa mpigo
 
Halafu wewe utakuja usutwe mchana kweupe waache wenye mahaba yao wanaume wa mkoa fulani hivi
 
Hii picha ina tafsiri nyingi,tafsiri nnayoipenda mimi ni kuwa jamaa kaamua kumsaidia mwenzie kidogo ili mwanamke apate kupumzika. Sioni ubaya kwa hilo ukitilia maanani wanawake wengi huwa wanaumia sana na kazi za nyumbani na malezi ya watoto,hata kama wanafanyakazi.Kusaidiana ndani ya nyumba kunakuza mapenzi,heshima,kuthaminiana na ukaribu.
Lakini haitakuwa vizuri kama jamaa kazi yake ni hiyo kukaa nyumbani na kulea,mwanaume lazima kuwa mstali wa mbele kujishughulisha na kupambana na maisha.
 
Precisely
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…