Ni sawa na mtu akiona mwanamke mja mzito barabarani, anajua moja kwa moja sio tasa. Hata kama una watoto kumi nyumbani ukitembea barabarani nani anajua unazaa au huzai? hahahaha
Ni sawa na mtu akiona mwanamke mja mzito barabarani, anajua moja kwa moja sio tasa. Hata kama una watoto kumi nyumbani ukitembea barabarani nani anajua unazaa au huzai? hahahaha
Ana gari na yuko kwenye nyumba ya kupanga.
wana mbwembwe! Na funguo shurti kuzichezesha chezesha.
Saigon.....kama huna muonekano,jina mjini pia huna wala familia uliyotoka haina jina,nguo hazikukai na unataka nawe uwe katika record za kutembea na watoto wazuri basi fanya keke ununue gari kwani ndo hirizi ya kizungu ya kung'oa walimbwende!......!!!ila juzi kati nipo club kuna pimbi mmoja kapiga koti lina vifungo kama nane halafu oversize utadhani shati wakati single button ndo habari ya mjini, yaani kwa kifupi jamaa ni mnyalukolo ila demu anayemiliki ni hatari!nikaconclude kama jamaa atakuwa ana pesa ya kutosha na nje atakuwa ana ndinga kali!Aisee hii thread haiwezi kunoga bila kuingia hapa kijana mmoja anaitwa Muuza Sura. hebu karibu hapa Mkare wa Down town, hawa hawajui kama watu wanachukuwa mademu wakali kwa pamba kali na simu kali sembuse mkoko!?
Utajiri ni nyumba mtu asikudanganye!mwenye nyumba 1 dar ana utajiri kuliko ma bus ya scandnavia 100.leo yale ma bus yapo wapi lakini plot na ofisi zipo
Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..