Ivi huyu Ni binadamu kweli[emoji848]

Zuckerberg is a Jewish surname of German origin meaning "sugar mountain".
 
Nayeye ukimtumia picha yako atajiuliza "uyu cheusi mangala,black mamba" ni mtu kweli au gunia la mkaa??

dah mbona mtafutano
IMG_3228.jpg
 
Mkuu kuuliza ni ujinga coz tafsiri ya ujinga ni kutokujua jambo fulani,ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeisha,

So,unapouliza jambo usilolijua ina maana una ujinga kwenye jambo hilo,

Neno ujinga sio tusi wala sio neno baya bali linawasilisha kutokujua jambo.


"Kuuliza sio ujinga bali kutojua jambo na ukajua kwamba hujui jambo hilo na ukashindwa kuuliza hapo ndio ujinga"---- hiyo ndio maana ya "kuuliza sio ujinga".
 
Wale ambao mumefundishwa kuwachukia sana.....mumejaribu kuwaua tangu enzi zile ila bado wanaitawala dunia kwa akili zao walivyobarikiwa....hehehe


Jibu swali; wao ni wateule wa/kwa kitu gani ??!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom