Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,922
- 6,009
Thesis yako ni kwamba: Mark Zuckerberg siyo binadamu
Unapotoa opinion, jaribu kujenga hoja yenye mashiko kuwa Mark Zuckerberg siyo binadamu
Kisha, lithibitishie jukwaa hili kwa mifano kuwa Mark Zuckerberg si binadamu.
Zaidi ya hapo utakuwa umebandika picha tu kwa kujifurahisha.