Ivi hapa ni wapi jameni

Ivi hapa ni wapi jameni

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,281
Reaction score
7,953
8735373f28a248138e257c616d73aed5.jpg
 
Unampango wa kufika?


Samahani kwa swali maana ndio tanzania yetu hii swali juu ya swali)
 
Nipo usingizini sioni, niambie ni wapi?
 
huo ni mtaa wa victor wanyama kaka, hupo ubungo viwandani.
 
huo ni mtaa wa victor wanyama kaka, hupo ubungo viwandani.
Kwani huyo victor wanyama ni nani hapa tz, na kwanini huo mtaa wauite hivyo au ni mtu maarufu kwa kuchoma au kukaanga nyama au mishikaki ndio maana ukaitwa mtaa wa victor wa nyama nini?
 
Chatlllllleee centre highway corner area place
 
Chattle naona punda wanaongozwa na mataa ya barabarani😀😀
 
Back
Top Bottom