- Thread starter
- #21
The boss, Qualifier na Aspirin ni kwavile naona wanaume hujiona wa thamani sana kwa mwanamke aliyekwisha zaa, yani hata kama kazaa nae yeye hataki kumuoa anataka siku ya harusi atoke na kibinti sasa kuna watu wadizain hiyo wanapanga kuoana ndo mm nikaona maajabu.