Ni kweli tumevumilina na kuvumiliana kwenyewe matunda yake ndio hichi kinacho fanya tuitwe Watanzania , achilia mbali ukuta kuna maeneo mengine mengi tumeyumbaKuvumiliana tushavumiliana vya kutosha,hii ni nchi yetu sote madaraka ni dhamana tu,.
UKUTA uko palepale!
Mkuu busara ni pamoja na ujasiri ,unataka kuniambia taifa hili lote halina watu wa kumwambia ukweli kisa wanamuogopa ??Tatizo siyo kuwa hakuna mwenye busara bali mtukufu rais wetu ni mkali mkali tu so kila mtu anaogopa akimshauri atatumbuliwa mara moja. Mtu kama Masaju sijui anamshaurigi nini rais yeye akiwa kama Attorney General
Lkn muda bado upo acha waendelee kupasha ila napo ikishindikana basi tutajua nini kitatokea mbele kwa mbele.
Ni kweli kabisa ,Katiba na sheria nyingine zipo ,ila pia ni ukweli usiopingika uchaguzi wa mwaka jana uliacha nyufa kubwa ,inahitajika busara kutuweka pamoja badala ya maguvu na ubabeHatuhitaji tume wala neno la mtu, KATIBA KAZI YAKE NINI??? ifuatwe tu kila kitu kitakua kwenye mstari
Mbona huku uraiani tushaanza kuishi kwa kujengeana ukuta mkuu....wa huku wa huku wa kule wa kule....Ukuta sina tatizo nalo mkuu ,ila matokeo yake ndio yanipa wakati mgumu nikilifikiria hili swala ,badala ya kutuleta pamoja mpasuko unaongezeka
Ni sawa Mkuu ,ila unaamini kabisa kauli zake ni utani ? Ukiachilia hili la kufyatua watoto ,unakumbuka mgomo fulani wa madereva wa Malori ?Matamko ya utani yamezidi, labda iundwe tume ya kumshauri mtoa matamko aanze sasa kufuata katiba na sheria za nchi,
Tunamshukuru makonda na ummy kwa kutengua baadhi ya matamko
Mkuu kwani mpasuko umeletwa na kutofuata katiba pekee ,? Imefikia sehemu kama taifa baadhi ya watu wanaona wanakandamizwa na kunyimwa haki yao ,haki huwa haiombwi inapiganiwa watakapo amua kufanya hivyo unafikiria kama taifa tutakuwa na umoja wetu ?Tume? Kwani katiba imefutwa?
Na ndio tatizo ambalo naliona mkuu ,hatuko pamoja tena tuna mipasuko katikati ya jamii zetu na tukiendelea na hii dhambi ya kubaguana haitaishia hapo ,bado tuna nafasi ya kujirudi na kuendelea na utamaduni wetu wa kuvumiliana ila sio katika mambo ya kipuuziMbona huku uraiani tushaanza kuishi kwa kujengeana ukuta mkuu....wa huku wa huku wa kule wa kule....
Ova
Unafahamu kuwa kuna watu wanavunja katiba na sheria? Na kwamba wanafahamu lakini wanajifanya wendawazimu?Mkuu kwani mpasuko umeletwa na kutofuata katiba pekee ,? Imefikia sehemu kama taifa baadhi ya watu wanaona wanakandamizwa na kunyimwa haki yao ,haki huwa haiombwi inapiganiwa watakapo amua kufanya hivyo unafikiria kama taifa tutakuwa na umoja wetu ?