ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
yani kuna watu hawajui watendalo yani hawana msimamo. El akitangazwa oooo kateka media oooo kamfunika magufuri..... sasa leo hajatangazwa tena siku moja tu tayari wameanza kulalamika oooo maccm ooo ubaguzi...
hakuna aliyekulazimisha kuona habari ITV .. vituo vipo vingi angalia tbc basi tuone nayo kama hamji kulalamika kesho tu hapa
hakuna aliyekulazimisha kuona habari ITV .. vituo vipo vingi angalia tbc basi tuone nayo kama hamji kulalamika kesho tu hapa