ITV yasalimu amri

ITV yasalimu amri

gideonbooty

Member
Joined
Aug 17, 2015
Posts
11
Reaction score
3
Katika hali isiyokua ya kawaida Leo kituo bora cha ITV kimeshindwa kuripoti habari yoyote kuhusu ukawa huku ikitoa habari za chama cha mapinduzi peke yake,Leo kulikua na matukio mengi makubwa ikiwapo edwadi lowasa kula kiapo mahakama kuu lkn hawajaripoti wakashia kuripori za makofuli...
 
Kaa na kichinjio chako sijui unataka kwenda kumchinja nani. Sisi tunatunza kadi zetu za kura trh 25 tunakwenda kupiga kura na kumkataa fisadi, ili asiingie ikulu.
 
Pengine ITV hawakujua kama Lowassa angekula kiapo leo mahakama kuu.
 
Mgombea ubunge kupitia cuf katika jimbo la Tandahimba siyo habari ya ukawa
 
ITV ata hawo watangazaji wake hawana elimu hawajuwi ata kusoma taarifa ni shirika bovu kabisa la utangazaji., Nimeacha kuangalia ITV kitambo
 
Mnalialia sana nyie ukiwa kila media mnaona haiwatendei haki.

Kama vipi fungueni vituo vyenu vya tv muwaoneshe wahuni wenu kila wanachofanya hata wakienda chooni.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida Leo kituo bora cha ITV kimeshindwa kuripoti habari yoyote kuhusu ukawa huku ikitoa habari za chama cha mapinduzi peke yake,Leo kulikua na matukio mengi makubwa ikiwapo edwadi lowasa kula kiapo mahakama kuu lkn hawajaripoti wakashia kuripori za makofuli...
Mwanamke mbea wewe na mchonganishi sana.
 
Hivi ITV ni pre paid au post paid? Nadhani ni tatizo la network sio muda mrefu watakuwa hewani na ukawa. .......Lets wait loading.....
 
Leo wameacha makusudi ili mulidhike maana mlianza ooh itv inapendelea, sasa leo wameacha kwa makusud mazima, tena wamempuzisha lowasa ili watu wammiss ..subir kesho na mafuriko ya tar 22
 
Kaa na kichinjio chako sijui unataka kwenda kumchinja nani. Sisi tunatunza kadi zetu za kura trh 25 tunakwenda kupiga kura na kumkataa fisadi, ili asiingie ikulu.
Tena safari hii tutamkata vibaya kweli zaidi hata alivyokatwa kwenye chama alipokuwa ccm.
 
Back
Top Bottom