ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

ITV wanapotosha matokeo ya uchaguzi

mkonozi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
300
Reaction score
197
Inasikitisha na ni kinyume na sheria za utangazaji kutangaza matokeo ya uchaguzi kinyume na yale yaliyotolewa na tume ya uchaguzi.

ITV wamekuwa wakitangaza matokeo yao tofauti na tume.

Ushabiki wa kisiasa wa namna hii ni hatari kwa amani ya nchi yetu.

Ushaidi no1.

attachment.php
 
Attachments

  • IMG_20151028_171103.jpg
    IMG_20151028_171103.jpg
    246.9 KB · Views: 3,477
Nadhani ITV hapa hawahusika ila "bao la mkono ndio linahusika.

Huu unaweza kuwa ushahidi mwingine wa rafu zinazochezwa.
 
Hata sasa hivi wanafanya uchambuzi
Ni muhimu wazingatie kwa usahihi maelezo ya ZEC
 
watuambie tume imesema nini,,,wananchi sio wajinga,,tutajumlisha wenyewe,,,wasitupe number tofauti na za tume, wanaleta mkanganyiko
 
kama wamekosea na ni kinyume cha sheria, sasa unatwambia sisi apa ni mahakamani? Nenda ukafungue kesi au waambie TCRA siyo unakuja na ushuzi mchafu apa!!! ITV, ITV, ITV!!!
 
Acha uzushi hizo Bold hapo juu weka vizuri kama ni ya Ndanda kama ilivyo ya hapo chini! Moderator si vibaya uchafuzi wa Taasisi nyingine kupitia JF ni vizuri ukaepukwa kwa kufanya ukahiki na ITV yenyewe hata kwakupitia kuele Twitter ambako naamini wana kaunti na watajibu haya.

Cc Invisible
 
Ni kweli kabisa jana wamezua kizaa zaa huku mtaani kwa takwimu zao za uongo na upotoshaji mkubwa...nmewapigia sim hawajapokea nikaamua kuwatumia sms waache huu upotoshaji wa makusudi lakin hadi hiv sasa cjapata majibu yao..hili jambo halikubaliki hata kidogoo kwa chombo cha habari kama itv kuupotosha umma kwa maslai yao binafsi
 
Rekebisha hapo,
Hawatangazi matokeo yaliyotangazwa na tume,
Wanatangaza matokeo yaliyotolewa na wakurugenzi majimboni.
Elewa uhuru wa vyombo vya habari na wajibu wake.
Kawafungulie mashitaka uone.
Utawalipa fidia tu...
 
Acha uzushi hizo Bold hapo juu weka vizuri kama ni ya Ndanda kama ilivyo ya hapo chini! Moderator si vibaya uchafuzi wa Taasisi nyingine kupitia JF ni vizuri ukaepukwa kwa kufanya ukahiki na ITV yenyewe hata kwakupitia kuele Twitter ambako naamini wana kaunti na watajibu haya.

Cc Invisible

Acha ujuha, hiyo picha ya juu ni ITV,,ya chini ni tume. uzuri mkanda umerekodiwa na sasa napitia moja baada ya moja. ushabiki wao na timu yao hauhalarishi uvunjivu wa amani ya watanzania wote
 
Rekebisha hapo,
Hawatangazi matokeo yaliyotangazwa na tume,
Wanatangaza matokeo yaliyotolewa na wakurugenzi majimboni.
Elewa uhuru wa vyombo vya habari na wajibu wake.
Kawafungulie mashitaka uone.
Utawalipa fidia tu...

ficha upumbavu wako. matokeo ya uraisi yanatangazwa na tume tu na si vinginevyo
 
Rais Magufuli anaweza akaua watu kwa vihoro
 
Unajua Tume ina-understimate nguvu ya social media, dunia ipo connected sana sasa hivi ukilinganisha na miaka mitano nyuma. Sasa hivi almost kila mtu yupo hewani, ilibidi waangalie njia nyingine za kutangaza matokeo.

Sioni sababu ya kuzuia matokeo ya urais kutangazwa moja kwa moja kutoka vituoni, vituo vyote vina representatives toka vyama vyote kwa hiyo wote waki-sign hata matokeo yakitangazwa hakuna shida. Kusema kura zipelekwe dar waanze ukaguzi ndo kitu kinaleta complications. Wao wangekua wanachukua namba direct kutoka vituoni wana-update direct kwenda kwenye database alafu wana-release kwenye press data in real time.

Ndio system nchi zote zilizoendelea wanatumia, sijui watu weusi tuna matatizo gani huku africa.
 
Rekebisha hapo,
Hawatangazi matokeo yaliyotangazwa na tume,
Wanatangaza matokeo yaliyotolewa na wakurugenzi majimboni.
Elewa uhuru wa vyombo vya habari na wajibu wake.
Kawafungulie mashitaka uone.
Utawalipa fidia tu...

Wanajamvi Tuchangie hoja zenye mantiki na kuelimishana kwa faida endelevu ya jamvi letu. hebu tujumuishe hizo asilimia..... ni zaidi ya 100. Je huko ITV wanashindwa kufanya hesabu ya darasa la pili? Tutetee hoja zenye mashiko na si ujinga.
 
Acha ujuha, hiyo picha ya juu ni ITV,,ya chini ni tume. uzuri mkanda umerekodiwa na sasa napitia moja baada ya moja. ushabiki wao na timu yao hauhalarishi uvunjivu wa amani ya watanzania wote

Ujuha wangu uko wapi?

Nimekuliza hiyo ya Juu ya ITV ni jimbo gani?
Kama ya chini ni ya NEC na inaonekana ya Ndanda je hayo ITV ni Ndanda pia?

Back
Top Bottom