ITV wanaipendelea Yanga?

ITV wanaipendelea Yanga?

kussy

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2010
Posts
408
Reaction score
124
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!
 
simba timu ya waarabu watakua wametangaza TVZ kaangalie kule :biggrin1:
 
Yaani Simba imeshinda Taifa
lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa
Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!

Simba timu ya Al shabaad! wakatangazwe Somalia!
 
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!
Umeona ee! Lakini sio kosa lao mtangazaji mwenyewe anaitwa KANGA,sory, KITENGE unategemea nn? Watake wasitake simba ndio kinara.
 
yanga umoja wa mataifa huwezi kuilinganisha na simba wahuni wa uarabuni
 
Yaani Simba imeshinda Taifa lakini hawatangazi! Ikifungwa au kutoa Droo ndo wa kwanza kutangaza. Kwa Yanga mko Mbeeele @#x6F..... Zenu!

kaka leo hatukuwa na Mwandishi wetu wa habari huko,vumilia tu.
 
Tatizo ni Isaac Gamba ana chuki binafsi na Simba,ni mara zote akisoma yeye anaruka makusudi, siyo ITV jamani. Mengi tuondolee Gamba kwenye michezo, Gamba akitaka habari Simba asipewe ushirikiano, Gamba asihudhurie vikao au matamasha yoyote ya Simba, Gamba asifike klabuni Simba, wapenzi wa Simba msikubali kuzungumza au kuhojiwa na Gamba katika mambo yanayohusu Simba. Asikae karibu na sisi hata uwanjani.

Gamba usije kucheza na sisi una mikono michafu. Pita na zako mtaa wa Msimbazi
 
Umeona ee! Lakini sio kosa lao mtangazaji mwenyewe anaitwa KANGA,sory, KITENGE unategemea nn? Watake wasitake simba ndio kinara.
Wameniuzi sana tena Mnyama kapiga mtu 3 Taifa wako kimya! Alafu Yanga na Maafande wa Oljoro uko Arusha eti taarifa wanayo, Ooovyo!
 
Wameniuzi sana tena Mnyama kapiga mtu 3 Taifa wako kimya! Alafu Yanga na Maafande wa Oljoro uko Arusha eti taarifa wanayo, Ooovyo!

pamoja na hayo, ilikua na ulazima gani utumie neno WASHENZI?
 
Unaumwa homa za msimu wewe.

Una BCBG wewe...!!!"
Hivi watanzania tumefikia ubaguzi huu? Mmh eeeh mungu tusaidie
Kama haikuhusu potezea sio lazima kuchangia
Unaumwa homa za msimu wewe.

Una BCBG wewe...!!!"
Hivi watanzania tumefikia ubaguzi huu? Mmh eeeh mungu tusaidie
Kama haikuhusu potezea sio lazima kuchangia

:biggrin1: msimaindi sana nyie ni watani wetu wa jadi so kutaniana kumo punguzeni hasira mtakufa siku si zenu
 
watanzania bwana! wanachosha. kwani ni lazima kutangaza habari za simba na yanga acheni kasumba ya usimba na uyanga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom