Itv wame edit picha -kigoma

We ni changudoa tu kama machangudoa wengine.
Unawapa kazi za kipuuzi mods kwa kupost unafiki.
Ningekuwa mod ningekupiga life ban

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

unajielewa lakini?
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.
Hivi mawazo ya kikabila mnayatoa wapi? Mawazo km haya hayasaidii chochote katika maendeleo ya nchi yetu
 

Wewe mfuasi wa maendeleo ya akina lowasa rostam na chenge. Mambo ya chadema hayakuhusu.
Inaonekana ulikua unawashwa kuanzisha thread. Kwanini usingecomment huu ----- kwenye thread ilokwisha anzishwa?.
 

Hawa ni watu wa chache kweli? Au ndio ulitakaje wewe?
 


hata ukijihami akili za maccm zinajulikana tu
 

Slaa ana weza anawezaa uyoo ooh anaweza Sana
 
ITV nawashauri muedit mpaka mabango ya wanakasuli maneno yasome kumsifia slaa
 
Mtoa mada wewe ulikuwepo kwenye huo mkutano ina maana hakukuwa na chombo kingine cha habari tofauti na ITV? Kigoma hawa na wawakilishi wa TBC,Star TV,Chenel ten na Clouds TV? Au ndiyo hi yo?
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.

Siunajua damu nzito kuliko maji....kama WanaKigoma walivyo na uchungu na Zitto wao vivyovivyo ndivyo Mengi alivyo na uchungu na ndugu zake.
 
Anzisha kituo chako cha Tv halafu uwe unarusha habari za mikutano ya Chadema live ili kukwepa kuhaririwa kwa picha za matukio yote. Kwani wewe kinakuuma nini hapo? Son of a btch
 

So what???????
 

Weka basi ww hizo ambazo hazijawa-edited ili tuamini usemacho, vinginevyo umefanikiwa kujaza server bila sababu
 
Ni kwaida ya wana ccm kukana hata picha za mnato/picha za video na hata sauti zao ,tunaushukuru uongozi wa Itv.Siku zote uongo hujitenga na ukweli nnaona ccm mlijiandaa sana kupotosha.

sipo katika ccm ila watu si wengi kule mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…