Itv wame edit picha -kigoma

mtajibeba huu mwaka mmemuabisha zitto bure kwa kumuahidi kuwa mtafanikisha mikutano haifanyiki kwa kukosa watu, mara maandamano, mara mmeanza kurusha mawe kabisa,,,,pwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,,weka picha zako unazozitaka
 

usiwaone wakina zemarcopolo, sixgates, lizabon, simiyu yetu wanahangaika humu na ww unakurupuka!! wenzio wanalipwa, we poteza muda ss!
 

ITV wafanye editing kwa manufaa ya nani? Wewe utakuwa umevurugwa na akili yako imejaa majanga.
 

We ni changudoa tu kama machangudoa wengine.
Unawapa kazi za kipuuzi mods kwa kupost unafiki.
Ningekuwa mod ningekupiga life ban

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Natoa pole kwa Dr slaa kushambuliwa na wahuni.
 
je umeonda jinsi ya mabomu yalivyokuwa yakipigwa katika kuahirisha mkutano
je umeona idadi ya watu waliotawanywa kwajili ya kufunga mkutano?


Mabomu ya machozi sio rafiki wa binaadam ndio maana hata police huvaa vifaa maalumu kujikinga ili kutekeleza majukumu yake,unao uhakika gani kama mwandishi aliweza kulichukua tukio lile kwa wakati uleule mabomu ya machozi yalipoanza kulipuliwa na police ?.Kwa sababu mlishajiandaa kupotosha ,sishangai mkipinga habari iliyoletwa na Itv.
 

pole sana ila usimwage chozi,.

Ukweli ndio huo umeshawekwa hadharani!!
 
Shida yenu si Zitto kwanza chama badae muchukueni Zitto wenu ya CHADEMA muyaache jinsi yalivyo.
 

we mnafiki tu huna lolote!!
 
ITV na Nipashe siku hizi wamekuwa wafuasi wa mmachame mwenzao sio wa kuangalia kabisa hasa katika suala hili la Zitto,.

umla; Mwogope Mungu jamani. Hukai dakika kabla hujataja udini, ukanda na ukabila??? Tangu m/kiti wako aanzishe neno hilo weye hujalisahau? Tafuteni hoja zenye nguvu jamani au acheni kuchangia huu ugoro humu.
Yaani weye ndio unataka kutuambia kwamba ndo unajua kuchunguza vizuri picha na hakuna mwingine? Angalia, hata siku utaoneshwa hapo kuwa mtetezi mzuri na mzushi wa ccm unatafutwa ukachukue nyongeza ya buku 7 hutaamini.
kila ukiota mafanikio ya CDM unaona ukanda na udini na ukabila tu??? Pole. Lakini nakuambia, uzushi wako hautazuia KIMBUNGA hicho cha MABADILIKO. 2015 ccm must weep
 
Buku saba za Lumumba zinakufanya huuze utu wako kwa kuandika pumba tu!
 
Mengi, Mtei, Mbowe, Lema, unadhani kuna nini hapo.
 
je umeonda jinsi ya mabomu yalivyokuwa yakipigwa katika kuahirisha mkutano
je umeona idadi ya watu waliotawanywa kwajili ya kufunga mkutano?

weka zako sasa, mnafiki mkubwa wewe!
 

ok umeshasema halafu,,,,,,,,,,!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…