Itv wame edit picha -kigoma

Hivi mawazo ya kikabila mnayatoa wapi? Mawazo km haya hayasaidii chochote katika maendeleo ya nchi yetu
Mimi sidhani kama huyo ni MTANZANIA, Huyu jamaa kama cyo wa RWANDA basi atakuwa ni wa KENYA au BURUNDI.WATANZANIA hatuna huu utamaduni wa kubaguana cjui wamachame,wasukuma,wagogo,wadigo n etc.
 


Hivi unazani Kasulu ni kijijini kama kijijini kwenu siyo? tembea uone na si kuzani ulipo tu ndo mjini.
 
kweli umeindokewa ba ufahamu kabisa
 
Kama hujui tafsiri, Edit = Hariri na Editor = Mhariri. Na hizo ndizo kazi za Mhariri.

Hakuna habari inayotolewa kwenye chombo chochote cha habari bila kuhaririwa. Iwe radio, gazeti au TV. Hata CNN wanahariri habari zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…